Diamond Rudi Shuleni,Ally Kiba Ni KING Kakuzidi sana

Kiba ni mwimbaji sio siri, hata nyimbo zake hazichuji hata kidogo. Diamond anatoa nyimbo zisizo na kiwango ndo maana nyimbo zake zinawahi kuchuja na kumbidi kutoa nyimbo kila miezi miwili.
 
Kumfananisha Ali Kiba na diamond ni kumdhalilisha King Kiba,ni sawa na kumpambanisha Lusinde na Tundu Lissu
 

mkuu ongezea na kupata endorsement deals za kutosha?
 
Asante,na hiyo avatar mie burudaaani!
mwisho wa siku umeona uishie tu kuburudika na Avatar ya mdau,baada ya kuona alichokiandika ni pumba na ni irrelevant or it is vice versa!
 
Kwa vigezo vp?
mafanikio kimziki...
nyimbo kusikilizwa sana...
video kuangaliwa sana...
kubeba tuzo nyingi...
pesa...
show za kutosha ndani na nje ya mipaka ya TZ...
followers wengi kwenye mitandao ya kijamii...
mengine malizia mwenyewe..!
 
Hiyo nyimbo kila kitu ni cha Useni machozi naona kiba kashuka kimziki
 
Kwa muda sasa nipo hapa JF lakini sijawahi kuandika suala linalohusu bongo fleva.

Lakini leo acha nitowe mtazamo wangu juu ya muziki huo.Huku nikijikita kwa Diamond na Ally Kiba.
Tena bora usiwe unaandika manake inaonekana hili eneo hujalifuatilia vizuri na hivyo kukosa taarifa muhimu! Yaani Kiba huyu huyu anayelialia kwenye media kwamba kuna watu wanahonga pesa ili nyimbo zake zisichezwe na TV kubwa za nje na asipate tuzo lakini bado unatarajia atakuwa na ubavu wa kuufikisha wimbo kwenye club kubwa za Afrika not mentioning zile za Ulaya?! By the way, shule unayoizungumzia wewe kwamba Diamond aende ni shule ipi hasa ambayo Ali Kiba hana haja nayo? Na kwamba Diamond anahitaji kurudi shule kwa sababu tu UNAAMINI Lupela itabamba, au?!

Lakini watu mnao-conclude mambo kwa kusukumwa na hisia badala ya statistics and figures mna moyo kweli kweli!
 
mafanikio kimziki...
nyimbo kusikilizwa sana...
video kuangaliwa sana...
kubeba tuzo nyingi...
pesa...
show za kutosha ndani na nje ya mipaka ya TZ...
followers wengi kwenye mitandao ya kijamii...
mengine malizia mwenyewe..!
Mafanikio kimziki ndiyo yapi?halafu hata hayo uliyoeleza yangefanana na Beyonce ndio tungesema Diamond ni level ya beyonce?
 
1.Lema ang'aka kuhusu Zanzibar, Amwambia Chenge asijione Mungu mdogo
2.Manispaa ya Shinyanga yapiga Marufuku Ufugaji wa Nguruwe
3.Dr. Slaa na Mpenzi wake kubariki ndoa nchini Canada
4.Makamishna wawili wa ZEC wasema hawatambui uamuzi wa kufuta matokeo
5.Magufuli: Wapinzani wanawaza Ipo Siku Watatawala, Wasahau
6.Magufuli: Wapinzani wanawaza Ipo Siku Watatawala, Wasahau
Komaa binti unaweza kumpiku JOYCE MUKYA Karibuni.Ongeza Threads zifike angalau 100 kwa siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…