Diamond: Sasa atatembea akiwa amekaa hapa.....



hehehe! kuna ukweli ndani yake!! alafu haters kibao ndani ya hii thread
 
muheshimiwa naunga mkono hoja kwa asilimia mia tatu.Nahisi ulikuwa kicwani kwangu
 
Hongera sana ni mafanikio, suala la kwamba ajenge kwanza hilo ni suala binafsi kila mtu ana kipaumbele chake mwacheni kijana aamue kwani hela anaitafuta mwenyewe, he deserve it.
hicho ni kitendea kazi anahitaji kusafiri ni muhimu akijenga nyumba halafu akipanda opa mtasema. Mnataka mpaka mupangie na jinsi ya kutumia pesa zake.
 
Diamond ana myumba 2 na ya tatu iko hatua za mwisho kukamilisha ni mwanamziki mwenye mafanikia nadhani kuliko wote na pia ana despline sana ya matumizi mbali na gari hiyo pia anamiliki range rover
Kakutuma au ndio wewe?mijanaume mingine bana!
 
Kakutuma au ndio wewe?mijanaume mingine bana!

una upeo mdogo sana the way u sound, nyie ndio haters ambao hamtaki kuona mtu ana maendeleo na mkakubali unaweza hata kumroga au kumwekea sumu afe. Diamond ni mwanamuziki mwenye mafanikio sana na tukiwa kama watz lazima tujivunie hilo

Kama unamchukia kwa sababu zako binafsi utakufa na roho yako ya chuki dogo anazidi kupanda chati na anazidi kung'aa na kuikamata Afrika sasa (kama unaangalia Big Brother utanielewa)

Watanzania wenzangu tujifunze kujivunia vitu vizuri vya nyumbani sio kila kitu tunaponda tu ndio maana tunakosa maendeleo kwa roho zetu za chuki
 
Safi diamond kwani unafanya kazi nzuri
 
Dogo unafanya vizuri, ila ushauri Kuwa unique na mambo yako binafsi na pia rudi shule na elimu ya ziada jinsi star anavyohitajika Kuwa na kuishi. Kazi nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…