Diamond soma alama za nyakati mapema

Huwezi amini mtu akiandika tusi mtandaoni huwa anajitambua kwamba sasa natukana kwenye comment hii nimkomeshe ingawa inaweza sababishwa na hasira, chuki na kisasi.
Hahahaa mkuu nikweli aisee ila uyu mzee anatia mashaka na mitandaoni humu asilimia kubwa vijana atakutana na wavutabangi wamdhalilishe
 
Hahahaa mkuu nikweli aisee ila uyu mzee anatia mashaka na mitandaoni humu asilimia kubwa vijana atakutana na wavutabangi wamdhalilishe
Muungwana akivuliwa nguo huchutama kutukanana kwenye mitandao sijambo jema hasa kwa watu wazima.

Si unajua ukimkimbiza chizi na wewe utaonekana chizi[emoji3] [emoji3] , kinyume chake ukimkimbiza daimond na wewe utakuwa daimond[emoji184] [emoji125] [emoji125]
 
Wakati mama mtu anahangaika na mwanae ili awe mtu hamkumpa ushauri

Binadamu bana


Mtulie ndio kiki zenyewe hizo
 
Nasikiaga 'Ukubwa dawa', sa sijui huyu mama yupo kundi lipi.
 
WEWE HAUKO SAWA KICHWANI,TENA WEWE UTAKUWA NI CHIZI MTEMBEA UCHI. NIKUPE MFANO TU,NI WAPI ILIKOELEZWA MDOGO NDIO ANASTAHILI KUTUKANA ............NA NI WAPI ILIKOELEZWA KUWA MKUBWA HASTAHILI KUTUMIA MITANDAO ......... NA UNAJUA NI KIASI GANI ANANUFAIKA KWA YEYE KUWEPO KWENYE MITANDAO .........AU ILE SHERIA YA MITANDAO IMEWATENGANISHA KATI YA MDOGO NA MKUBWA ........... KWANINI USIWAHOJI WANAOANZA KUMTUKANA MTU "MZIMA",ILA UNASHANGAA YEYE KUWAJIBU .........NA KWANINI HAYO UNAYOYAITA "MATUSI" UMEYALETA HUKU ........... KWANINI USIFANYE MAMBO YAKO KUTWA UPO UNAKEREKWA NA KURASA ZA WATU WANAOKUBOA ................KWANI KUPATA AU KUKOSA TUZO SABABU NI HUYO MAMA.......... NA JE WIZKID ANAYEKOSA KILA SIKU NAYE NI NINI ........MBONA KIBA HATA KUWA NOMINIIZI HAWI JE,NAYE NI SABABU YA MAMA YAKE .........AU MBONA YEYE HUWA ANAKOSA JE, NA YEYE SABABU NI MAMA YAKE .....??
 
Mama Chibu uko sahihi kabisa,tena ikiwezekana kwenye bio yako weka boooooonge la "TUSI" kwa yeyote anayeenda kinyume na ulichokusudia KUANDIKA hilo "TUSI" LIMUHUSU. Kwani ni lazima wewe kuingia kwenye kurasa zao ............kawaandikia barua ..........kawatumia maombi kwenu ...........Ukiona anakukera mpotezee/usiingie kwenye kurasa yake na uone kama kesho atakutafuta .......... Unatuletea malalamiko yako huku kama FALA VILE ULIYELAZIMISHWA NA KATIBA YA NCHI NI LAZIMA UINGIE KWENYE PAGE YAKE/ZAO...........NA KUNA VICHAA WENZAKO WANAKUONA UMEONGEA LA MAANA. BADALA YAKUHOJI ULAZIMA WA WEWE KUINGIA HUKO,ILA YAPO YAKIMUONA HUYO MAMA HANA AKILI,LAKINI WAO WANAOINGIA KWENYE PAGE YAKE WANAJIONA WAZIMA,NA WANAMTUKANA HALAFU ETI YANATAKA YAJIBIWE KAMA DOCTOR ANAMJIBU MGONJWA WAKE MAJINGA KABISA. KAMA MAMA DIAMOND NI CHIZI BASI NYINYI MNAOFATILIA PAGE YAKE NI MACHIZI ZAIDI YAKE.
 
Mama La Miaka 50 linatukanana Na Watoto Wa miaka 20 ...

Si Atoke Kwenye Social Media ale Hela Za Mwanae.. Anajitafutia Stress Zisizo za maana
MAMA LA MIAKA 50,KWANINI WEWE ULITUKANE ......??
 
Jiwe gizani
 
Kiroba kinafanyakazi ukikua utaacha
 
Naanza Kumuelewa kwanini baba Nasibu alimiluacha huyu mama.
 
'asaaa chambua kama karanga sasaaaa' aka kaverse kananifurahisha sana,mambo ya kina mama tuwaachie wenyewe.
 
Umesema nilichotaka kukisem. Ahsante sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…