Diamond Platnumz
Suffering from Success.... haraf
endeleeni kupiga kelele Mnarogwa!
Instagram Photos · 56 minutes
ago ·
ni maneno aliyoandika Diamond kwenye page yake ya facebook yakiambatana na picha hiyo
hahaha jamani bora uandike kiswahili kuliko kuandika mambo yasiyoeleweka.
laiti kama anajua jinsi unavyomtangaza angekuajiri keep it up kama wewe siye yeye wala ndugu yake basi una mapenzi ya dhati