Diamond tena, mpenziwe amsamehe baada ya kucheat na Irene UYOWA

Status
Not open for further replies.

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752

Katika muda ambao kila mmoja alikuwa amejaribu kuamini kuwa Diamond Platnumz ameamua kutulia na mpenzi mmoja, mtangazaji wa DTV, Penniel Mungilwa, hivi karibuni staa huyo ameanzisha uhusiano wa kimapenzi na muigizaji wa filamu Irene Uwoya…..
Magazeti ya udaku nchini yaliandika habari hiyo ikiwa na picha inazowaoenesha mastaa hao wakichukua chumba kwenye hoteli ambako walienda kufanya yao.

Kufuatia tetesi hizo, mwandishi wetu amezungumza na mpenzi wa sasa wa Diamond, Penny ambaye amesema kwa ufupi kuwa wameshayazungumza na Diamond na wako vizuri kwa sasa lakini akasisitiza kuwa asingependa kuliongelea zaidi suala hilo.
Katia hatua nyingine, Jokate Mwegelo aliyewahi kuwa na uhusiano na Diamond amekanusha taarifa iliyoandikwa na gazeti moja la udaku kuwa amemcheka Irene kwa kunaswa kwenye himaya ya Diamond.

“Mimi hivyo vitu havinihusu na wanapenda kupata quotes zangu pasipo hitajika. I don’t know why? I don’t why wanatafuta story. That’s their life kiukweli with whatever they choose to do, more power to them,” amesema Jokate.
 
Forget diamond Liyumba was a man
 
Forget diamond Liyumba was a man
.Cristabela Mwingira.2.Joan.3.Ray C.4.Mboni Mhita na mama yake Zabein Mhita naye kapitiwa.5.Maimartha wa Jesse.(Mama Mkorogo).6..Asha Kingui (Kaolewa na Liumba).7.Raya (Yuko London anasambaza miwaya kwa kwenda mbele).8.Mastura (Sasa marehemu).9.Linda ( Huyu inasemekana ni mtoto wake kabisa na Liumba duh).10Wema Sepetu.(Former Miss Tanzania).11.Sada ******.12.Vivian Sirikwa.13.Irene Uwoya (Muigizaji filamu maarufu bongo).14.Mary Chingwile.15.Neema Mjango.16.Diana.17.Sophia Byanaku.18.Hamida Kinana.19.Shamsa.20.Devota Diva.21.Jacquline Ntuyabalilwe (Haya, “You know I am crazy over you”, kazi ipo).22.Johari.23.Esther Lema.24.Mange Kimambi.25.Teddy Kalonga (Zamani alikuwa anatangaza Jackpot Bingo ITV).26.Lady JD (Masikini mwimbaji wetu, Gardner anayo kazi ila na yeye ni kiwembe).27.Fina Mango (Aliyekuwa anatangaza Power Breakfast na Masoud Kipanya pale Clouds FM).28.Najma.29. Marehemu Amina Chifupa (Wakasingizia eti karogwa).30.Nancy Sumari.(Miss World Africa).31.Irene Kiwia.32.Mary Stella (Alikuwa demu wa marehemu Mutie Mengi wa EATV).33.Jackie Kavishe.(Mbezi Loius Kimara).34.Suzi wa Mdeke.35.Happinness Magese (Former Miss Tanzania).36.Rashida Wanjala (Aliwahi kuwa Miss Mara).37.Alice Biduga.38.Lydia Moshi (Mwenye Magic Massage Namanga).39.Salima Masoud (Mke wa Masoud Kipanya kajengewa na ghorofa wanayoishi na mumewe hapatoshi hapo).40.Vicky Kamata.(“Wanawake na Maendeleo”, kumbe bure)41.Lucy Ngongoseke Kiwehle (Sasa hivi ni Meneja wa Mawasiliano Standard Chattered Bank zamani alikuwa Multi Choice).42.Fatuma Uledi wa TRA (Nasikia yuko hoi bin taabani).43.Carol Kirita.44.Shyrose Bhanji (Senior Public Relations Manager NMB, kama ni kweli Yesu rudi haraka).
 

Hii list du
 
Hii ni list of shame.kama ni kweli then sizana kama kunamtu atavunja record ya liyumba.
 

Wakati wanafanya huo mchezo we ulikueko?
 
Kwenye list ya Liyumba, umesahau wengi....mkuu. Diamond anatambaa bado ukilinganisha na Liyumba
 

Ulikuwa unamsaidia kuhesabu wakati akiendelea au ndo ushabiki maandazi sasa
 
KK hii list ya ukweli au umeandika maana kama ndio hivyo wataumia wengi.
 

Kwa namna dada zetu walivyo, hii List inawezekana kabisa ila nimeshangaa kuliona jina la Lady JD. Ilikuwa mwaka gan, au ni kabla ya Gardner? Mana hao wengine itakuwa walinaswa kwasababu ya njaa zao, vip na yeye ilikuwa njaa au?

Mke wa Masud Kipanya?

Fina Mango?
 
Mkuu@C.T.U inaonekana unajua unachokiandika! Liyumba huyu ndio yuleyule wa BOT?
 
Ningeogopa hiyo list ya Liyumba kama ningeambiwa pasipo shaka kuwa aliwapitia wakiwa nyama kwa nyama.
Lakini kama walitumia vifanyio (kitu ambacho ninakifikiria),hata kama list hiyo inaukweli, sidhani kama ni tatizo sana,hasa kama hawakubakwa,bali walifikia makubaliano.
 

Duh..!
We kweli ni Counter Terrorism Unit Mzee wa Intelijensia.
 
Ebwana kuna kupona hapo!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mbona hujasema walikuwa wakipewa zawadi gani baada ya kumstarehesha huyu fisadi?
 
Hiyo inaitwa kukutanisha vikojoleo!! Utamuuuuuuu rahaaaaaaa!!...........!! Kazijeeeeeee sasa??
 
Duuhh hiyo list kama ni ya kweli basi huyo jamaa ni unbeaten...!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…