Diamond tena, mpenziwe amsamehe baada ya kucheat na Irene UYOWA

Status
Not open for further replies.

Kwenye list ya liyumba tupo wengi maana naona km watatu hapo nilimeza meza
 
SALUTI MKUU!!!!Khaaa...nahisi hata motoni kuna grades!!:tape2:
 
sioni kama kuna tatizo kama ambavyo mmoja kasema.cha muhimu usalama uwepo.maana wote hao ni watu wazima kama wakiamua kufanya jambo nani wa kuwazuia.japo binadamu nahisi sasa tunakuwa kama wanyama.maana kama mungu alitutofautisha na viumbe wengine kwa kutupa ufahamu wa kujua baya na zuri.lakn bado tunafanya mabaya ilhali twajua fika ni baya na shule tumeenda.basi hakika tunarudi kuwa kama nguruwe tu.
 
na mtume pia aje washirikiane,hii mbaya na ambao hawajulikani?omg
 
Aisee noma

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwenye list ya Liyumba, umesahau wengi....mkuu. Diamond anatambaa bado ukilinganisha na Liyumba

Umri bado unamruhusu, anaweza akavunja rekodi hiyo...kaza buti dogo (Diamond), kazi bado unayo!
 
Umri bado unamruhusu, anaweza akavunja rekodi hiyo...kaza buti dogo (Diamond), kazi bado unayo!

Duuh...humpendi mwenzio nilifikiri utamwambia aache uzinzi
 
Duuh...humpendi mwenzio nilifikiri utamwambia aache uzinzi

Si anaona sifa 'kutoa dozi'...sa mtu mpaka anajiita 'sukari ya warembo' utamuambia nini akusikie!? Mmwagie tu sifa za kijinga...
 
Linda Liyumba tulishamzika tangu 2008 pale makaburi ya Kinondoni, pale Mwembejini.

Alitembea na babake (Liyumba) mpaka akapata Mimba,alipojaribu kuitoa hyo mimba, ndipo mauti yakamkuta.
Ningeweka picha yake, ila sio mahala pake hapa.
 
Weka Madame B ili nijue alikuaje hadi kumshawishi babake atembee nae..
 
Last edited by a moderator:
Wabongo kwa skendo.. Hapo ikifika muda wa Diamond kuchoka kila moja ataanza tena kumkimbia, huyu bwana mdogo inabidi aweke investment za kutosha asije akafulia maana mziki inafika muda watu wanachoka, la si hivo atakuja kupigwa dolo warembo wote wakimbie maana zaidi ya hela, looks hana
 
much respect Liyumba, af eti naskia we unahonga gari zenye rangi nyekundu tu sijui unaamanisha nn km ni kweli!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…