Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiaje yani
ila dogo ananyota tu, ila sio kipaji....kuna vipaji balaa mfano sasa hivi kuna dogo mmoja anakuja kwa kasi sana huko nigeria anaitwa #Tecno , anajua kucheza kuliko diamond, anasauti kuliko diamond, anapiga pamba kuliko diamond, anamwonekano mzuri kuliko diamond.
so mlio karibu nae mwambieni asibweteke...nyimbo zake maarufu zilizompa hayo matuzo hazizidi 3.
kingine ali k naona aite press conference akiri hadharani kwamba diamond ni jembe....baada ya hapo na yy ataanza kushine.