Diamond tena MTVEMA! Hongeraaa

Huyo ndo Mondi bin Awards..!kijana anatuwakilisha vyema sana
 
Diamond kibokooooooo..mpaka mtv europe ?
Haya ndio mabadilikoo !
 
ila dogo ananyota tu, ila sio kipaji....kuna vipaji balaa mfano sasa hivi kuna dogo mmoja anakuja kwa kasi sana huko nigeria anaitwa #Tecno , anajua kucheza kuliko diamond, anasauti kuliko diamond, anapiga pamba kuliko diamond, anamwonekano mzuri kuliko diamond.

so mlio karibu nae mwambieni asibweteke...nyimbo zake maarufu zilizompa hayo matuzo hazizidi 3.

kingine ali k naona aite press conference akiri hadharani kwamba diamond ni jembe....baada ya hapo na yy ataanza kushine.
 
fikiria kama si diamond platnumz sijui tanzania tungejulikana kwa lipi nje
 
msiache kumpigia kura kwani anatuwakilisha vyema sana tanzania
now anawania tuzo moja na priyanka chopra ya the best act africa/india
 

Umeongea sahihi mkuu ila kuna kitu mondi anawazidi wasanii wengi sana kama sio wote africa .hii kitu inayoitwa "publicity" utaona mond anapost mpaka manzi ake akioga hii huwezi kuona wakina davido au wizkid wakipost hio ni moja kati ya vitu kibao ambavyo unaweza kuona ni ushamba ila anatengeneza attention na kuwavuta watu wake karibu muda wote , hii ndio akili ya ziada ambayo kina kibakuli na wizkid hawana
 
Hongera mondi umewanyamazisha ooh siasa zitamuangusha hope wataelewa muziki ni muziki na siasa ni siasa
 
Kudoz Diamond,hakika u deserve it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…