Diamond, The one!!

Diamond, The one!!

Namlaumu sana kaka yangu kuishi Kigoma na akajifunza lingala then nikiwa mdogo nyimbo za Kizaire zikipigwa ananitafasiria maana yake!! Ndipo nilipokuja kugundua miziki na wanamziki wako DRC ya sasa. Sijawahi kudownload wimbo wowote wa bongo baada ya Ugali wa Juma Nature. Someni Kifaransa wakuu muenjoy nyimbo za maana za kina Koffi, Ferre, Fally, Werra,Fabregas au muendelee kusikiliza matusi
 
Somehow nyimbo nzuri,location ya video nzuri na ni unique alafu ni za TZ na hata yale maneno yenye ukakasi (matusi) hamna,8/10.Natamani siku msanii akashuti video matombo najua watu wanapaponda ila kuna location nzuri sana.Hii nyimbo ni anthem ya kwenye harusi.
 
Back
Top Bottom