Diamond: Uhusiano wake na wema sepetu na movie yao mpya ya 2014

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
390
Reaction score
68
Diamond alidondoka kwenye Exclusive interview ya XXL ya Clouds FM na kuyajibu maswali ya Raymond Mshana ambae ndio alikua anaifanya XXL kwa siku hii ya January 6 2014.
Kwenye show ya Xmas Diamond alifanya show yake kwa ajili ya watoto Leaders Dar es salaam ambapo baadae vyombo vya habari vilimkariri akitangaza kwamba Wema Sepetu ndio mpenzi wake wa sasa.

Kwenye XXL Diamond amekwepa kulijibu hilo swali ila akamzungumzia Wema na uwepo wake pamoja na movie yake ambayo wamecheza pamoja na inatarajiwa kutoka mwaka huuhuu wa 2014.

Maelezo zaidi kuhusu alichosema yako kwenye hii video ya dakika tatu ingia hapa>>>DIAMOND: UHUSIANO WAKE NA WEMA SEPETU NA MOVIE YAO MPYA YA 2014
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…