Diamond umefanya la maana kumchukua Marlaw

Kweli we ni kichwa ngumu au labda mgeni kwenye game.... Harmonize was a reject na kila mtu anajua...tena watu walikua hadi wanamtukana Diamond kumsain dogo ambae hajui
But still kipaji alikuwa nacho tatizo ni hao waliomreject hawakuwa na jicho la kuweza kuona kipaji na potential aliyokuwa nayo msanii yoyote hats km una kipaji lazima upikwe kwanza ndiuwe hot cake
 
Hakuna mwana hiphop tz anaweza kupiga show ya chid hata mmoja
Labda kama sijawahi kuhudhuria show za child naweza nikakubali but show nyingi za chid miaka hiyo alikuwa anataja taja sana jina lake sema chid benz,,sema chid Benz zaidi ya Mara kumi kwenye kila wimbo mpaka mtangazaji mmoja akasema tunakujua we in chid Benz ndio maana tumekuita so unapolazimisha watu walitaje jina lake tu wtf?
 
Hakuna mwana hiphop tz anaweza kupiga show ya chid hata mmoja
Labda kama sijawahi kuhudhuria show za chid naweza nikakubali but show nyingi za chid miaka hiyo alikuwa anataja taja sana jina lake sema chid benz,,sema chid Benz zaidi ya Mara kumi kwenye kila wimbo mpaka mtangazaji mmoja akasema tunakujua we in chid Benz ndio maana tumekuita so unapolazimisha watu walitaje jina lake tu wtf? Kwa sasa hivi hana hela hana jina so ndio maanaa anajifanya anapiga show kinoma
 
But still kipaji alikuwa nacho tatizo ni hao waliomreject hawakuwa na jicho la kuweza kuona kipaji na potential aliyokuwa nayo msanii yoyote hats km una kipaji lazima upikwe kwanza ndiuwe hot cake
Nani angekubali kuingia gharama ya kumfua mtu miaka miwili ili aje kuwa cake ambapo anajua kabisa ni biashara ya kubet.....but Mond hakujali hilo,akakubali kuingia gharama za mamilioni ili kumnoa mchizi kwa miaka takribani miwili,na hatimae akafanikiwa kumtoa kijana,hata gharama hajarudisha anajimwambafai kutaka kuondoka,bas kaambiwa turudishie hata robo ya gharama tulizotumia mafala wanasema eti ana nyonywa,kwa nini kipind kile mlimuona si kitu na sasa hiv mnajifanya mwamtetea? fakini kabisa
 
True say but talent alikuwa nayo kuhusu kunyonywa hakuna mahali ambapo harmonize alisema ananyonywa,about contract Mimi sioni tatizo yeye kulipa milion500 coz ndio mkataba unavyosema tatu hutakiwi kuwa na marafiki wa kudumu,unatakiwa uwe na maslahi ya kudumu.
 
wadandiaji ndio wanaosema Konde alikua ananyonywa,kuna clip iko youtube Masta J anasema Harmonize wa bongo star search sio yule wa sasa hivi sababu alinolewa na wanaojua mziki na kuondolewa zile "maraika" mpk sasa hivi ndio hayo matunda yake,yupo kijana mwingine WCB hajatambulishwa but huu ni.mwaka wa nne sasa anafuliwa tu,akitoka atakua mashine hasa
 
Ahaa kumbe kuna dogo wameshamsaini tayari?
 
the dablyusibii faithfull will celebrate everything their leader says or does even if it's non profitable.. as long as their boss says so
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…