Iko wapi?Hii video iko Ovyo sana na imekaa kishamba kweli. Mimi ni shabiki wa Diamond lakini kwa muziki huu amechemka Kabisa kuanzia kwenye wimbo na video yake haina quality hata kidogo
Nalubaliana na ww mategemeo tulweka kua bonge la kchupa video imepooza kabxa. Bora ile ya haleluah hii video ya sasa mond kachemsha aiseeHii video iko Ovyo sana na imekaa kishamba kweli. Mimi ni shabiki wa Diamond lakini kwa muziki huu amechemka Kabisa kuanzia kwenye wimbo na video yake haina quality hata kidogo
Mkuu kuna watu hapa unapowaambia auto-tune hawakuelewi! Hawajui T.pain washamdis sana huko mbele kisa kutumia hizo auto-tune, amejaribu na amethubutu nampongeza kwa hilo lakini lazima kwenye ukweli tuongee. Wimbo umeanza kuharibiwa toka kwenye production laizer bado uwezo wake ni mdogo kwa kufanya production ambazo diamond anaita za kimataifa! Huu wimbo angeproduce hata nahreel au tudytomas ingekua ingekua poa sana pia mzee mzima Rick Ross kama kapuyanga flani hivi tofauti na uwezo wake.. Audio naipa 6/10 video 8½/10.Mimi nashangaa sana msanii anayejiita mkubwa kuimbiwa na computer? Wafike mahali waimbaji wa bongo kuachana na AUTO-TUNE" ni ushamba mkubwa wa kufukia mabonde ya kuimba off key au kushindwa kufika peak ya sauti kwa kutumia effect za kubadili sauti sipendi---- sipendi-- na huo mziki wake umejaa auto tune
Utatunza zikichafuka utafuliaMkuu kuna watu hapa unapowaambia auto-tune hawakuelewi! Hawajui T.pain washamdis sana huko mbele kisa kutumia hizo auto-tune, amejaribu na amethubutu nampongeza kwa hilo lakini lazima kwenye ukweli tuongee. Wimbo umeanza kuharibiwa toka kwenye production laizer bado uwezo wake ni mdogo kwa kufanya production ambazo diamond anaita za kimataifa! Huu wimbo angeproduce hata nahreel au tudytomas ingekua ingekua poa sana pia mzee mzima Rick Ross kama kapuyanga flani hivi tofauti na uwezo wake.. Audio naipa 6/10 video 8½/10.
NB: Ni maoni yangu tu povu sitaki maana sina nguo chafu..
Mambo yalishagoma hayo alishaimba na neyo nyimbo ilifika wapi mtu anakuwa anatafuta plan b kutoboa sijui lakini kwanini wasanii wa afrika inakua ngumu kutoboa marekanini shabiki ila hata mimi hapa sijamsoma kabisa jamaa...ilibidi aimbe tu kitandale..kwani zile nakshi nakshi za kwenye number one kazipeleka wapi?
Japo sio mbaya kupiga hatua za huko kimataifa.
Laizer ni tatizzo kwa production za Kimataifaa aiSe anamuangusha sna. Jmaaa, Anagli anauwezo wa kumtumia Tuddy or Nahreel. Production ni mbovu kusema Kweli.Mkuu kuna watu hapa unapowaambia auto-tune hawakuelewi! Hawajui T.pain washamdis sana huko mbele kisa kutumia hizo auto-tune, amejaribu na amethubutu nampongeza kwa hilo lakini lazima kwenye ukweli tuongee. Wimbo umeanza kuharibiwa toka kwenye production laizer bado uwezo wake ni mdogo kwa kufanya production ambazo diamond anaita za kimataifa! Huu wimbo angeproduce hata nahreel au tudytomas ingekua ingekua poa sana pia mzee mzima Rick Ross kama kapuyanga flani hivi tofauti na uwezo wake.. Audio naipa 6/10 video 8½/10.
NB: Ni maoni yangu tu povu sitaki maana sina nguo chafu..