Diamond unafanya kazi kubwa ila kwa hili la Mavoko na video ya Kokoro umebugi

sangujoseph

Senior Member
Joined
Nov 30, 2015
Posts
164
Reaction score
183


Jioni ya jumanne imetoka video mpya ya msanii mwingine wa WCB RICH MAVOKO akiwa amemshirikisha bosi wake Diamond Platinumz unaofahamika jina la KOKORO kimsingi mimi [HASHTAG]#kijanamzalendo[/HASHTAG] sijaelewa Audio kabisa ila kwa Video tu hawa jamaa huwa hawawezekani bongo ukilingamisha na wasanii wengine.

Nilichokigundua katika hii video ni kwamba haijalenga soko la ndani labda NIGERIA na SOUTH lakini sidhani wabongo kama tutaielewa au labda tulazimishwe na nguvu ya media na kulazamisha kumunua watazamaji ili tuone inafanya vizuri pia naifananisha na nyimbo ya Diamond FT Iyanya kiukweli KIBONGO ilibuma ila NIGERIA ikatusua so ngoja tusubirie labda ndo mikakati ya WCB kumfanya MAVOKO mwakani aingie tuzo za kimataifa.

Nilichokiona katika video kumekuwa na mrudio wa Rangi kila video mfano RANGI na NYEUPE kila baadhi nyimbo ya WCB Hwa hazikosi mfano [HASHTAG]#BADO[/HASHTAG] [HASHTAG]#IBAKISTORY[/HASHTAG] [HASHTAG]#MUGHACHERERE[/HASHTAG] [HASHTAG]#INDE[/HASHTAG] [HASHTAG]#NATAFUTAKIKI[/HASHTAG] [HASHTAG]#KOKORO[/HASHTAG] au ndo officially Rangi zao waseme basill lakini pia kuna zile seen za Kukaa kwenye kochi kila [HASHTAG]#NYIMBO[/HASHTAG] lazima iwepo sijui mtoa idea huwa anakua mmoja tu

Kimsingi Natambua mchango wa DIAMOND katika kuinua Muziki wa TZ lakini kwa hapa umeniangusha umekuwa ukitumia gharama kubwa kuwekeza katika Video lakini hakuna ubunifu zaidi ya mrudio wa Rangi na Shot na content ndio maana hata video zetu hazingiagi kipengele cha video bora kwenye tuzo za nje.

Ushauri kwa wasanii wengine pia tubadilike kwa kuwa wabunifu kimuziki lakini kufahamu mashabiki wanahitaji nini kwa kulingana na muda

[HASHTAG]#kijanamzalendo[/HASHTAG] [HASHTAG]#ilovetz[/HASHTAG] [HASHTAG]#maoniyangu[/HASHTAG]
 
hahaha! alafu baadae unaenda kuichungulia you tube tena.. mnatuongezea views tu, subili inayokuja wanashoot na Tembo ndio mtawaona wabunifu.
 
Jamaa kaja kuvuruga soko la ngoma mpya ya nwana FA

ILA MIMI MWANA FALSAFA JAMAN AHATA SIMWELEWI. YAANI ILE STAILI YAKE YA KUIMBA NDIO KABISAAAA... NAONA KAMA ANATURUDISHA ZAMA ZA MI NA MABINTI DAMDAM.... JAMAA AWACHE TU MIZIKI
 
Jamaa kaja kuvuruga soko la ngoma mpya ya nwana FA

ILA MIMI MWANA FALSAFA JAMAN AHATA SIMWELEWI. YAANI ILE STAILI YAKE YA KUIMBA NDIO KABISAAAA... NAONA KAMA ANATURUDISHA ZAMA ZA MI NA MABINTI DAMDAM.... JAMAA AWACHE TU MIZIKI
Weka wako tuone
 
wcb cio watu wa muchezo naona wanaandaa mapokezi ya rich mavoko nigeria yawe mazuri nyimbo yake inayokuja
 
Nyie washabiki wa ali kiba mbona mapovu mengi, kama video umeona mbaya c ukaangalie ya kajiandae, usitulazimishe kuchukia kazi za Mond. Ata akitoa nyimbo anakohoa tu tutaisapoti, kenge wa baharini we
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38] umemaliza bro....
 
We endelea kuchambua rangi mi nipo bize na suuzika magitaa na vinanda vya hatari sana humu ndani...weka mbali na watoto
 
mashairi ya kuungaunga.eti anasifia Hyundai na mwanamke mwenye lips nyembamba! na kuingiza bifu na kiba kwa kusema labda sallam pale penye chenga ni utoto mkubwa. ngoja nikasikilize zangu singeli.
 
Mamaako analenga soko la wapi????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…