Diamond unarudia kosa lile lile

Diamond unarudia kosa lile lile

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Diamomd Mimi ni shabiki Wako Tena shabiki wako mkubwa! Nafurahishwa na Juhudi zako nafurahishwa na Utendaji kazi wako! Juhudi zako za kufanya Collabo na wasanii wakubwaa inanitia moyo na kunifurahisha kuona kuwa ni kijana mchapakazi

Nimeshtushwa Leo nilipo amka na kuona kwenye Mitandao ya kijamii video zako za video shooting na Rickross zimesambaaa sana! picha mlizo piga wakati wa kushoot video zimesambaa sanaa! Kwanini Diamond Kwanini unarudia kosa lile lile ulilo Fanya kwa Neyo? Hadi wimbo wako wa Marry you ukavujaa na ukakosa mvuto kwa watu? ule ni wimbo mkubwa sana kama ungeutoa kama ulivyo Toa HALLELUJAH! Japo video zako na Rickross ume mute lakini unatoa mwanya wa watu kutokuwa na attention na Wimbo wako

Vile Rickross kukupost tuu ilikuwa inatosha kilicho fuata ilikuwa ni wewe kuja kuachia official video ukiwa na yeye na sio hizi clipp! watu washaona umevaaje kwenye video rickross kavaaje na mengine mengi! sasa yote hiyo ya nini Jamani?

kwanini unarudia kosa lile lile ulilolifanya kwa Neyo? ur Big star huhitaji hizi clip kuja kuboost mziki wako kwa sasa wala wewe kufanya collabo na Rick rosse sio ajabu,Alishafanya na Kina P squre na ulifanya collabo na psqure ajabu nini wewe kufanya na Rickrosee?
 
Hakika amerudia kosa
 
Tangu lini mswahili anaacha asili hana tofauti na wale watoto wanaokula wali kwa kubahatisha siku akila anabandika kengine kwenye shavu ili wenzie wajue kala akienda kucheza nao ndo mond huyo anabandika viwali.
 
Ni ushauri mnzuri, ingawa labda alitaka kutupa attention mashabiki wake. Hata hivyo, inaweza kuwa lengo ni kuwafanya watu waongelee hii collabo na wasahau issues zilizokuwa zinamuandama sasa hivi za kuhusu Zari na Hamisa. Ukiangalia hata Hallelujah imepunguza kwa kiasi kikubwa watu kuongelea issue zake za mahusiano. Si ajabu hata hizi video clips lengo lake ni hilo. Pamoja na yote nazidi kumpongeza kwa juhudi anazozifanya. Hakuna shaka kwamba kwa sasa ndie msanii pekee aliyeamua kwa dhati kuifikisha bongofleva kimataifa.

Attachments

Nasubiri kusikia beat ya wimbo. Wasanii wenye background tofauti ya eneo wanalotokea na muziki wanaofanya hua wanakumbwa na hii changamoto.

Wimbo wake na Neyo haukudorora kisa alijitangaza mno, beat ilihusika.

Nasubiria beat.
 
So diamond yupo huko na Rick Ross wanatengeneza vedio...?

Mwengine yule yupo TUKUYU MBEYA kwa ajili ya Fiesta ana waseduce tuu wanakusya wa watu huko.

Bila kusahau Wizkid yupo na Nickminaj na Dj Khaleeed wanaandaa mambo . Kwahiyo kila mtu apambane na hali yake hahaha
 
hata nami nachukizwa na hili nikiwa shabiki wake wa dhati kabisa...bro au wapambe wako kama wanapita humu wakufikishie hizi taarifa za mkuu danya tafadhali....

umenena ukweli kabisa kwa lengo la kujenga..shukrani
 
Kumbe ameimba na Rick RossRaper....nilidhani ni yule wa USA..[emoji125] [emoji125] [emoji115] [emoji115]
 
Back
Top Bottom