Diamond, unatakiwa kujua kuwa wanakuonea wivu

Diamond, unatakiwa kujua kuwa wanakuonea wivu

Snitch2020

Member
Joined
Aug 24, 2017
Posts
77
Reaction score
91
Habari za jumatatu wanajamii.

Kiukweli mimi ni mshabiki mkubwa sana wa diamond tena shabiki wa dam. Nimejisikia vibaya sana kuona asilimia kubwa ya wasanii wanamchukia diamond na si kwasababu hajui mziki ila ni kwasababu ya mafanikio yake makubwa aliyoyapata Tz na nje.

Wasanii wengi wamekaa muda mrefu san kwenye GEMU na hawajapata mafanikio kama ya Diamond. Mfano angalia wimbo alotoa alikiba ambao hata adui namba moja wa diamond "mangekimambi" alikiri kitoelewa kiitikio na kuomba msaada wa kuelekezwa watu wakubwa na wasanii mbali mbali wameonekana kuupost sio kwa kuwa wameuependa ila ni kuonesha chuki za dhati kwa diamond ambae ametoa wimbo mkali kuliko zote mwaka huu.

Napenda kumshauri Mondi kuwa asikate tamaa na asonge mbele daima. Wako katika ujenz wa taifa .
Snitch2020
 
Kitu ngingine nimejifunza kuhusu Diamond na Alikiba ni Diamond anamafans wengi ambao ni wavivu kutoa support kwa msanii wao. Ila ni waongeaji sana mtandaoni.

Sent by Samson Cyper
Na mambo yakiwazidi wanakimbilia kauli yao eti wanaonewa wivu...wavivu sana hawa jamaa hawana la kujitetea zaidi ya hapo...wapambane tu bifu dhidi ya mr.pasua ndonga hawaliwezi
 
Habari za jumatatu wanajamii.

Kiukweli mimi ni mshabiki mkubwa sana wa diamond tena shabiki wa dam. Nimejisikia vibaya sana kuona asilimia kubwa ya wasanii wanamchukia diamond na si kwasababu hajui mziki ila ni kwasababu ya mafanikio yake makubwa aliyoyapata Tz na nje.

Wasanii wengi wamekaa muda mrefu san kwenye GEMU na hawajapata mafanikio kama ya Diamond. Mfano angalia wimbo alotoa alikiba ambao hata adui namba moja wa diamond "mangekimambi" alikiri kitoelewa kiitikio na kuomba msaada wa kuelekezwa watu wakubwa na wasanii mbali mbali wameonekana kuupost sio kwa kuwa wameuependa ila ni kuonesha chuki za dhati kwa diamond ambae ametoa wimbo mkali kuliko zote mwaka huu.

Napenda kumshauri Mondi kuwa asikate tamaa na asonge mbele daima. Wako katika ujenz wa taifa .
Snitch2020
umesahau kitu kimoja, sikuzote ukifanikiwa usiweke kiburi na majivuno kumbuka ulikotoka, kinachomcost Diamond ni kiburi na dharau, mfano mmoja ni alichofanyiwa Bob junior juzi kati.
 
Kingine D mshaurini na yeye apunguze vijembe na nyodo kwa wasanii wenzake kwa mfano zile freestyle alizotoa juzi na kuwaponda kiba na ommy akijua atawaumiza kumbe ndio alikuwa anamtengenezea kiba kiki zaidi

Pia aache zarau kwa mashabiki zake cz kimsingi zari amekuwa akimfanya D aishi maisha ya nyodo na vijembe kwa mfano alipomtukana hamisa kwa kumuita bitch, kuwaita mashabiki "vichupi kunuka" ilimradi amfurahishe zari kumbe ndio anaongeza maadui

Namshauri d aache kumnufaisha kiba kwa hili bifu kwani alikiba ndio linamnufaisha na kumpa kiki zaidi

Kuhusu wasanii wa zamani kumchukia D hilo halina ubishi D anachukiwa kutokana na kufanikiwa zaidi alafu wanaomtabiria kuanguka kimziki wasidhani kwa sasa anategemea mziki tu now ana biashara zake nyingi tu na mikataba ya matangazo

Kingine nyimbo ya ceduce haina ukali wowote bali ni presha ya mashabiki tu na wenye chuki na d kuopromote kwa nguvu ili kumkomesha d lakini hamna kitu wala tusidanganyane hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu ngingine nimejifunza kuhusu Diamond na Alikiba ni Diamond anamafans wengi ambao ni wavivu kutoa support kwa msanii wao. Ila ni waongeaji sana mtandaoni.

Sent by Samson Cyper
Tungekuwa hatutoi support asingefika hapo alipo.
Mfano mzuri,
Kati ya Wema na Diamond Nani fans wake hawatoi support

Ijumaa alizindua filam baada ya mashabiki kusupport kaz wanapost magauni aliyovaa
 
umesahau kitu kimoja, sikuzote ukifanikiwa usiweke kiburi na majivuno kumbuka ulikotoka, kinachomcost Diamond ni kiburi na dharau, mfano mmoja ni alichofanyiwa Bob junior juzi kati.
Wabongo bana, mnataka mpigiwe magoti Hamna jema akiwanyenyekea mtasema kafulia muacheni aishi maisha aliyojichagulia

Mbona Mwenyekiti wenu aliomba kura kwa unyenyekevu Leo kibur na jeur hamumshaur
 
HII IKO WAZI MKUU.NASKIA ETI WAMEUNGANISHA NGUVU HADI KWENYE MAGROUP YA WHATSAPP.AFU CHA AJABU WABANA CD,WAUZAJI NA BODABODA WAKIPITA MZIKI UNAOSIKIKA NI ZILIPENDWA.
 
kawaida yao wa tz.... hawapendi kuona wa kwao akitusua... huwa wanaumia sana
 
Mm siamini katika bifu lao na hii ugomvi uliokuja saivi ukitazama kwa u hatari zaidi ni wa kutengeneza ilikuongeza mvuto katika mziki wao napia kuongeza mauzo ya muziki wao km youtube na kwingineko ,jarbu kuangalia inaonekana kila kitu kilikuwa arranged
 
Back
Top Bottom