Snitch2020
Member
- Aug 24, 2017
- 77
- 91
Habari za jumatatu wanajamii.
Kiukweli mimi ni mshabiki mkubwa sana wa diamond tena shabiki wa dam. Nimejisikia vibaya sana kuona asilimia kubwa ya wasanii wanamchukia diamond na si kwasababu hajui mziki ila ni kwasababu ya mafanikio yake makubwa aliyoyapata Tz na nje.
Wasanii wengi wamekaa muda mrefu san kwenye GEMU na hawajapata mafanikio kama ya Diamond. Mfano angalia wimbo alotoa alikiba ambao hata adui namba moja wa diamond "mangekimambi" alikiri kitoelewa kiitikio na kuomba msaada wa kuelekezwa watu wakubwa na wasanii mbali mbali wameonekana kuupost sio kwa kuwa wameuependa ila ni kuonesha chuki za dhati kwa diamond ambae ametoa wimbo mkali kuliko zote mwaka huu.
Napenda kumshauri Mondi kuwa asikate tamaa na asonge mbele daima. Wako katika ujenz wa taifa .