jimmymziray
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 816
- 515
Mkuu naomba hii niitumie kama signature yangu
Nyie ndo mashabiki mandazi hamtaki kukubali upungufu wa msanii wenu mnaishia kulialia et wanamwonea wivu,Huyo mtoto wewe ulimshika hamisa miguu mpaka uwe na uhakika ni wa chibu.
Xmass Boy.
Zari keshamuambukiza dharau za kigandaMaskini akipata masaburi hulia pwata. Hivi diamond hajui Liz wakati ule wa mbagala ama nitarejea mbona watu walimpenda sana na wakampa sapoti?
Ni kwasabb alikuwa humble, na wema ukweli alijitahidi sana kuhakikisha kwamba Diamond anapanda manake mashosti wa wema wengi ni watu wa kawaida sana wa uswaz. Nakumbuka kuna siku alikuwa anarudi kutoka nje nadhan ni Nigeria ama SA wema na mashosti wake walimfungia barabara toka eapoti hadi tandale
Leo hii ndio hao hao mashabiki anakaa na.kuwaita wanuka chupi as if yake hainuki.
Sawa kapata mke according to his definition lkn sio yy mwenye mke mzuri kiasi kwamba aone hao wanawake wengine sio bora hivyo anaweza akawatusi atakavyo.
Kiukweli amekuwa ba tabia ya kudhalilisha wanawake mara kwa mara. Alipoacjana na wema alimkashfu sana. Lkn akasahau kabisa wema had her sweat over his success hata kama ni kwa kiasi kidogo sana.
Tunachotaka arudi toka kwenye maisha ya kujiita mganda awe Yule wa kigoma tuliyemzoea. Mwenye heshima kwa wenzie ba watu wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea factKiburi kimemzidi itamgharimu, watz wanaojielewa wanapenda muziki mzuri sio mashabiki wa mtu, Ila wale shabiki pumbavu ndio hushabikia mtu na sio mziki mzuri. Napenda nyimbo nzuri za diamond na haini zuii kupenda nyimbo nzuri za alikiba, Kwa wanajua mziki huu wimbo wa alikiba ndio wimbo bora tanzania tokea ule wa maisha na muziki wa darasa uliotoka mwishon mwaka jana. Diamond tatizo ametoa nyimbo nyingi hivi karibuni na hazijapokelewa kwa msisimuko na mashabiki bahati mbaya kaingiwa na roho mbaya baada ya kusikia mwenzie anataka kutoa wimbo ili amharibie, hili limemgharimu na litaendelea kumgharimu na kumshusha. Kuhusu wasanii wa kongwe ulitaka wasimsapoti jamaa yao kisa diamond ataona wamemdis hayo ni mawazo ya kipumbavu kwa mashabiki wapumbavu kama wewe. Wimbo wa kiba ni mzuri mtamu umegusa watanzania wengi na kumbuka kaimba peke yake bila kushirikisha wasanii wa nje kama diamond anavyofanya. Diamond anafanikio kuliko kiba haina ubishi ila Alikiba anaimba mziki mzuri kuliko diamond tangu alipoitikisa Tanzania na Cinderella kipindi hicho hakuna mitandao. Pole kama umeumizwa ila huwezi shindana na mziki mzuri wa kiba.
Sent using Jamii Forums mobile app