Diamond usije kujiroga kurudiana na Zari au kuja kumuoa huyo mwanamke, itakutokea puani

kifimbocheza_

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2017
Posts
1,119
Reaction score
1,095
Nimeona kila sehem watu wakimpreshalaizi Diamond kuwa arudiane na mama watoto wake bi Zarina Hassan. Na hiyo ni baada ya wimbo wake wa iyena kutoka huku video vixen akiwa ni bibi Zari so baada ya hapo maneno yamekuwa mengi sana.

Kwanza Diamond ww ni kijana ambaye umepata chance ya kuwa na exposure, famous and rich. Wasikulazimishe kuwa na huyo dada ambaye kimsingi hata ningekuwa mm ndo ww nisingekubali kurudiana naye, kwanza kakuzidi umri karibu muongo mzima (miaka 10) mwenzi soon hedhi inakoma wakati ww ndo dam itakuwa inachanganya kwa hiyo tyar automatically utakuwa unaishi na mbibi ndani kwa hiyo kuchepuka ni lazima, pili ana mitoto mikubwa ambayo lazima tu kuna siku itakuletea nongwa blv me or not hiyo ni lazima, tatu Zari ana mdomo mchafu sana na ana kibri inavoonekana siyo mtunzaji siri maana baada tu ya kuachana na ww tumesikia mengi sana ikiwemo kukusaidia kumalizia ile nyumba yako ya madale plus kununua makochi na decorations mbali mbali za hapo mjengoni juzi kati hapa kakufananisha na mbwa wake anayemfuga ndani kwake so huyo siyo mwanamke wa kuwa naye na kumpa siri.


Tafuta dem mkali mzuri ambaye hana mtoto bado oa, kama role model wako alikiba alivofanya kwa mtoto mzuri Amina. Mara mia ukawa na hamisa japo watu wengi wanamponda lakini ni msichana aliyelelewa kwny maadili ya kitanzania japo umekuwa ukim~treat vbaya but sijawahi sikia hata siku moja akifungua mdomo kukuponda au kuwasema vbaya wa upande wako. Na siku ukijiroga tu ukamuoa huyo mbibi (Zari) atakuja kukufanya kitu mbaya wewe na familiya yako mpaka mtamkumbuka hamisa na huwo mda utakuwa ushachelewa. Kawaulize ndugu zake na marehemu Ivan watakusimulia kama wameambulia chochote kutoka kwny jasho la mtoto wao.

Zari is after your money and fame hata ikitokea umedrop leo sidhan kama utamuona. Zari ni simba mwenda pole chunga sana.
 
Bora ambebe wema wake tu,si zari wala hamisa wote aachane nao.wanazidisha mateam sana hao.wema akili ishakaa sawa
 
Kwa hiyo na wao wamfananishe Alikiba na Yesu ambaye hakupenda show off!?.
Unakosea sana kuleta mtu wa heshima kama huyo kwenye mada za kijinga kama hizi!. Siyo vizuri kukashfu dini za wenzio mkuu!.
 
Kwan Mohamed ndo nani naye si alikuwa binadam tu kama ww na mm?
 
Hayo mengine mi sijui
Ila umri kuwa kikwazo ni mambo ambayo mna complicate tuu

Mapenzi hayana umri
Umri una mata sana kwenye mahusiano hasa ya ndoa walioleta hiyo philosophy ya kuwa ni heri mwanamke awe mdogo mbele ya mwanaume kwny swala zima la ndoa hawakuwa wajinga.
 
Huu uzi utafutwa mda si mrefu aisee hebu futa huu upuuzi unamfananishaje Mtume Muhammad na mtu km diamond aliekwambia Mtume Muhammad alikuwa mwanamziki nani. Mod njoo ufanye yako kabla hakujachafuka na mwezi huu Wa Ramdhan kabla hatujaanza kudhihaki ya Yesu
 
Diamond=mtume????
Duuh
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Kirchoff's law hii au...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…