Diamond Vampire ft Kidogo ya P-Square&Baraka da Prince ft Ali Kiba Nisamehe.

Team Simba na Team Mfalme sio? Wasubiri, wanakuja. Mie nitarudi baadae kusoma mtanange 😉
 
Kwa hiyo Dai anabattle na Baraka sio
 
Baraka kabana sana pua humo ila alikiba kafanya yake kudos to kiba
 
kila siku huwa nasema kama bangi ya arusha imekushinda, vuta ya tanga au pwani...mleta mada..unalinganisha goma la kidogo na chakula ya inzi..!
 
Acha kufananisha daimond na vitu vya ajabu ajabu
 
Apo ni ardhi na Mbingu wamchangani haomsifananishe na mzee wa fursa chibuuu[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Acheni mfananisha Diamond the Icon na upuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…