Atlantis
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 383
- 513
Latest news ni kwamba majina ya wasanii watakaowania tuzo za MTV Africa Music Awards 2015 yametangazwa jana June 11.
Miongoni mwao ni watabe wa Bongo Diamond Platnumz na dada mwenye swagga za unyamwezini Vanessa Mdee. Tuzo hizo zitatolewa Durban hukoo Bondeni, yaani South Africa.
Diamond Platnumz ametajwa kuwania vipengele vitatu ambavyo ni Best Male, Best Live Act, Best Collaboration while Vanessa Mdee akiwania BEST FEMALE.
Tuzo hizo zitatolewa July 18 jijini Durban Afrika Kusini;
BEST MALE
Diamond Platnumz(Tanzania), Wizkid (Nigeria), Davido (Nigeria), AKA (South Africa) na Sarkodie (Ghana)
BEST FEMALE
Vanessa Mdee (Tanzania), Busiswa (South Africa), Yemi Alade (Nigeria), Seyi Shay (NIgeria), Bucie (South Africa)
BEST LIVE ACT
Micasa, Big Nuz, Diamond Platnumz (Tanzania), Flavour na Toofan
BEST COLLABORATION
Diamond Platnumz ft Iyanya- BUM BUM (Tanzania/Nigeria)
Toofan ft Dj Arafat- Apero REMIX (Togo/Ivory Coast)
AKA ft Burna boy, Da L.E.S- All eyes on me (S.A/Nigeria)
Davido ft Uhuru, Dj Buckz - The sound (Nigeria,S.A)