Na kama hufahamu madancer wake wawili wana nyumba tayari....
ukitaka kufanikiwa wafanikishe na wenzako...
Yamoto band leo wanaingia tz kutoka south africa ambapo wameshoot video na godfather kwa gharama ya diamond.. yote hayo hayaji hivihivi ni mkwanja huo na usiniambie ni kitu kidogo sababu wasanii wengi wangekuwa wanaubavu huo
Vanessa mdee mwenyewe alipotoa video yake ya nobody but me aliulizwa kwa nini alitoa kwa justin campos na si kwa godfather kama wenzake akajibu kwa sababu mbili hakuwa na bajeti inayolingana na godfather na pili kufahamiana nae...
Maharage sio nyama ndugu
Wewe ndio una timu mimi nalipia muziki ninaosikiliza. Hayo mambo yenu mnaolipiwa viingilio kwenye fiesta au mnatafuta tag instagram.
Nooma saana... inatakiwa wasanii wetu wajifunze kwake collable ni kitu cha muhimu saana inaongeza saana fan base na ni kiashiria tosha kwamba upo vizuri na utampaisha kwa collable hiyo....
Hapo bado hajakutana na wakina uhuru waingie studio tena...
Dinazarde kuna viashiria vya ushindi nimeviona kuna traitor mmoja kabadili avatar haahahahahah.hhhhhhhaaaaaaaaaaaaaaaa
samahani mkuu umemwelewa kweli mdau alichouliza? sio hizi team za hapa jf ni team nzima inayounda jahazi modern taarab kama nimemwelewa mdau
Donald collaborate with Our own Diamond nw in SA.. huyu jamaa namkubali sana kuna nyimbo yke 1 inaitwa Over the moon anaimba RnB tamu sana.
Hatari sana Diamond anafan Base kubwa sana africa hivi sasa na hizi collable zitazidi kumuweka juu. Anajulikana West, South, East and Central africa kiujumla ni juhudi kubwa sana.
Usiumize kichwa sana haya sio mambo ya msingi kuyaelewa.
Nooma saana... inatakiwa wasanii wetu wajifunze kwake collable ni kitu cha muhimu saana inaongeza saana fan base na ni kiashiria tosha kwamba upo vizuri na utampaisha kwa collable hiyo....
Hapo bado hajakutana na wakina uhuru waingie studio tena...
samahani mkuu umemwelewa kweli mdau alichouliza? sio hizi team za hapa jf ni team nzima inayounda jahazi modern taarab kama nimemwelewa mdau
Ahsante kwa kunisaidia, wengine mawazo ya ni bifu tu.
hahaha
Rizki ni kugawana , Mungu anapokupa rizki sio kwa sababu una uspesho sana ila ana makusudi yake...Si unaona biashara zenu wabongo zinavyokufa, duka linaingiza milion 10 muuza duka unamlipa elfu 40 ata Mungu anakunyang'anya.Milioni 60, Tale, Fela, SK, Iyobo, Rommy, madensa nane ukigawanya inakuwa kama sawa na mzigo anaokula mzee Yusuph jumapili pale travertine.