Diamond Vs Ali Kiba

nyotayao90

Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
18
Reaction score
3
Kwa upeo wangu., hili bifu la hawa watu wawili linakuzwa ili kumtafutia jina Ali Kiba ambaye alishapotea kwny ramani ya muziki.! naamini kwa wakati huu Diamond ni bora zaidi na hastahili kulinganishwa na Ali Kiba.!
 
Na wewe umekuja kulikuza? hovyooooooooo
 
Kwani Huyo Ali Kiba Ndo Nani? Anaishi Nchi Gani Na Anajishughulisha Na Nini? Huyo Mwingine Namfahamu Alikuja Jumapili Iliyopita Hapa Mkoani Kwetu RUVUMA.
 
Achen kumshusha chibu apo ungeweka Kiba vs Msagasum sawa
 
Mondi Ndo Mfalme,ali Kiba Ni Prince. Ali Kiba Anajulikana Kwa Mgongo Wa Platinumz. Na Sio Vinginevo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…