Kubishana na mjinga kama wewe ni kupoteza muda tu , unabisha Harmonize hakujaza uwanja .. Haya angalia hapa show yake alivyojaza uwanja .. Na kwa taarifa yako tangu south Sudan imepata uhuru haijawahi tokea gathering kubwa kama hiyo. wewe
Haya turudi kwenye mada.. Tuseme umezaliwa Dar. Nakubali. Unaweza kuwa umezaliwa dar na hujui lolote unaishi Tandale au Mbagala majimatiti (Uswekeni huko) hujui lolote .. Upo Upo tu.. Nimekwambia mfuate diamond akuambie fiesta yake ya kwanza kama underground aliifanyia wapi ... Alipata show yake ya kwanza kama underground viwana vya posta kijitonyama .. Sikumbuki vizuri ni mwaka gani but ni around 2015 hivi .. Wasanii undergrounds waliopewa nafasi ya kuimba kabla ya show kwanza ni Diamond na Sheta .. Sasa wewe endelea kusema umezaliwa dar wenziio wakina Hrmonize wamezaliwa Chitoholi wanakuja mjini wanatusua majumba na magari halafu nyie wazawa mnaendelea kubanana Tandale na Mbagala kwenye uchafu na dhiki...
Unaongea tu hujui unachoongea .. Harmonize akiamua kuongea anavyonyonya pale WCB mpuuzi kama wewe utakuja hapa kubisha .. Hivi unajua Diamond alikopa hela kwa harmonize akimwambia kuwa atamtafutia Shares kadhaa Kwenye Wa safi media ??? Unajua mwisho wake ni nini ?? Unajua Diamond amekuwa akijibu nini Harmonize akiulizia hela zake ?? Unajua hizo hela so chini ya million 200?? .. Unajua hizo shares zikoje kwa sasa kwa upande Wa harmo? .. Tukisema tuweke mambo mengine hapa mtabaki kusema sisi ni haters Wa diamond ...
Tulia Dogo umezaliwa dar ila you know nothing of anything ..
Harmonize sio mjinga kukaa kimya ..