Diamond Vs Harmonize

Diamond Vs Harmonize

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Kumekuwa na maneno kuwa Harmonize akishirikiana na msanii basi ni lazima amkalishe, yani Harmonize ni mbabe kwenye Collabo anazofanya na wasanii wenzake.

Kama tunavyojua Diamond ameshafanya Collabo 3 na Mmakonde na zote zilikuwa hit Songs Tanzania na Afrika kwa ujumla.

Collabo zenyewe ni Bado, Kwangwaru na Kainama.

Naomba uniambie, je ni kweli Harmonize alimfunika Diamond kwenye Collabo hizo walizofanya pamoja?
 
Hizo kolabo zote Konde alipotezwa vibaya Sana...
 
Hawa Wana mikataba mizito sana kuhakikisha jamii inaharibika
 
Back
Top Bottom