Hizo kolabo zote Konde alipotezwa vibaya Sana...Kumekuwa na maneno kuwa Harmonize akishirikiana na msanii basi ni lazima amkalishe, yani Harmonize ni mbabe kwenye Collabo anazofanya na wasanii wenzake.
Kama tunavyojua Diamond ameshafanya Collabo 3 na Mmakonde na zote zilikuwa hit Songs Tanzania na Afrika kwa ujumla.
Collabo zenyewe ni Bado, Kwangwaru na Kainama.
Naomba uniambie, je ni kweli Harmonize alimfunika Diamond kwenye Collabo hizo walizofanya pamoja?
Mondi mkaree