Kendrick Rama
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 409
- 456
Kabla ya kuitwa channel 5 (EATV) ilifahamika kama ITV2, mnamo mwaka wa 2004 ndipo ilibadilishwa jina na kuitwa EATV au channel 5.
Inafahamika ITV na EATV zote ni Mali za mtu mmoja na kampuni ni moja (ipp) media, sasa kitu kinachonipa maswali kivipi Diamond platinumz nyimbo zake zinachezwa ITV na wakati huohuo hazichezwi EATV.
Inaama zaidi ya miaka 3 sasa eatv hawachezi ngoma za diamond na wakati huo hku itv wenyew hawana habari wanaluka tuh quarantin, hapo ndio sijajua wakati mmiliki ni mmoja kama ilivyo kwa clouds na choice wote awapigi ngoma za diamond.
mwenye uelewa pliiz anisaidie hl