Diamond wa kipindi kileee

Huyo mnaemwita ZARI yupo hapo kumtumia DOMO kama mradi tu!!! Jimama linawatoto lukuki leo uniambie ana mapenzi na huyo bwana!!! Itafika wakati atamkimbia na kurudi kwa watoto wake huko uganda.
Kwani unahitaji uone nini ili ujue kuwa wanapendana?
 
Kawaida ni sawa na ww ukioaa na kuacha na kuoaaa mme mwengine xo kukimbiaaa nikituuu cha kawaidaaa tuuu kwan yy nani asikimbieeee@ bint kiziwi
 
Huyo mnaemwita ZARI yupo hapo kumtumia DOMO kama mradi tu!!! Jimama linawatoto lukuki leo uniambie ana mapenzi na huyo bwana!!! Itafika wakati atamkimbia na kurudi kwa watoto wake huko uganda.

Akikimbia si ndio afadhali, we vimwana vyote hivi vilivyojaa maeneo
 
Huyo mnaemwita ZARI yupo hapo kumtumia DOMO kama mradi tu!!! Jimama linawatoto lukuki leo uniambie ana mapenzi na huyo bwana!!! Itafika wakati atamkimbia na kurudi kwa watoto wake huko uganda.
Hata kama wameamua mwenyewe kuwa pamoja
 
Huyo mnaemwita ZARI yupo hapo kumtumia DOMO kama mradi tu!!! Jimama linawatoto lukuki leo uniambie ana mapenzi na huyo bwana!!! Itafika wakati atamkimbia na kurudi kwa watoto wake huko uganda.
Mbona washaachana wiki ya tatu sasa nenda kazibe pengo la Zari.
 
duuh, siku hz anakunywa sana maji nini? mbna kama......
 
Hivi hiyo Dayimondu ndiyo kitu gani kweli..?
...mi bado mgeni.
 
daah katisheti sasa!mtoto mkali ila alidata ile mbaya kwa domomond kabla jamaa hajawa diamondz platinum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…