Diamond wachukue hawa watangazaji Michael Noel na Gwamaka Franci

Ni ujinga wa hali ya juu mtangazaji kuhama kutoka radio kubwa inayosikika nchi nzima kisha kukimbilia kwenye kiradio kinachosikika mkoa mmoja/miwili.

Kina Maulid Kitenge washaanza kujuta.

Unforgetable
Acha mhemko wewe kuna watu wanawasikiliza kupitia platforms mbalimbali, hiyo unayoita radio ndogo ina subscribers million moja na ushee YouTube
 
Ni ujinga wa hali ya juu mtangazaji kuhama kutoka radio kubwa inayosikika nchi nzima kisha kukimbilia kwenye kiradio kinachosikika mkoa mmoja/miwili.

Kina Maulid Kitenge washaanza kujuta.

Unforgetable

Wasafi sio kwamba hawapendi kusikika mikoa yote, ni masharti ya TCRA, ngoja miaka mitatu ipite uone jamaa watavyozindua mkoa mmoja mmoja. Radio yoyote itayofunguliwa Tanzania huwa haipewi leseni ya kurusha matangazo moja kwa moja Mikoa yote lazima wapewe muda kwanza wachunguzwe, contents zitoshe then ndo wanapewa uhuru wa kuruka nchi nzima. Angalia efm walivyoanza na walipo sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…