Zari amepagawa kwa kweli inaonekana alikuwa ana mpenda Sana diamond na akazani uhusiano wa mond na tanasha utakuwa zimamoto kumbe ndo unapamba Moto tatizo huyo kingbae wake Kiki Hana na yeye ameshazoea maisha ya Kiki.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]binamu bwana!kwani ndo umejua Leo kua ndo mswahili au haja move on!!!
Diamond anamjua Zari kuliko mtu yoyote mwingine baada ya Ivan na alolala nao wengine!
Mondi anavyosema ana maanisha haswaa ingawa kwa kua hatumpendi mtoto wa tandale ndo tunamchamba!!
Kiukweli Zari anampenda sana Diamond!!ila ndo hvyo tena mtoto wa bi Sanura kashaghairi
Ukweli ambao misukule wake hawataki uskia hata siku mojaZari amepagawa kwa kweli inaonekana alikuwa ana mpenda Sana diamond na akazani uhusiano wa mond na tanasha utakuwa zimamoto kumbe ndo unapamba Moto tatizo huyo kingbae wake Kiki Hana na yeye ameshazoea maisha ya Kiki.
Mbona kutwa na maisha ya celebrities, nyie yenu mbona hayaripotiwi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]!!!washaambiwa ukiachwa achika hawataki kukubali!Huyu zari uswahili umemzdi mbona diamond amzungumzii boyfriend wake inakuaje yeye amzungumzie tanasha.Inavyoonekana Ni kweli huyu dada ndo ametemwa na diamond happy tu ajamuoa tanasha bado je akimuoa tanasha huyo zari si atakua chizi kabisa maana hayo mapovu anayotoa utazani alidhurumiwa kitu Cha thamani
Bosslady wapi bwana wewe!!huyo bibi hana Ishu...Showoff zinammaliza,anapenda umaarufu kupitiliza!!
.
Ila nilichojifunza ni kwamba kama huna uhakika na kitu basi usikimbilie kumuacha mtu...inauma sana kumuacha mtu uliesema ni malaya,halafu akaja akapata mtu mzuri na akatulia sàna,hakika inauma!!Zari alitegemea Tanasha ni demu wa kupita tu,sasa kumbe Diamond ndio ameweka kambi!!.
.
Sikuzote nasemaga anayeacha anaumia zaidi kuliko anaeachwa!!ukiachwa ni rahisi sana kumoveon kuliko ukiacha[emoji1787]muda wote unatamani uliemuacha aendelee kuharibu ili ujione ulikua sahihi kumuacha...sasa ukiona ametulia,anafanya mambo yake na hana habari na wewe haloooo inaumaaa!!!
Diamond sio mwenzako yule anaweza kulisha ukoo wako mzima.Girlfriend wako zari lini amekuwa mshauri wa mahusiano ya diamond? Tuanzie hapo kwanzaZari yupo juu ndio maana unamuandika.. na anapendwa sanaaaaa.. domo hatoi nyimbo bila kumtaja.. mengine ni po po poooo
Amuongelee tu.. yeye kwanini hamkatazi bwanake kuongelea ma ex.. kisa ajijenge tu kimuziki kupitia domo
Zari nae acha awaongeleeee na badooooo
Atabaki kuwa juuuu...
View attachment 1141848
Hii chini AKIWA NA ZARI vs MWAKA MMOJA BAADA YA KUACHWA
View attachment 1141849