Diamond: Waziri wa nishati aliniibia demu wangu

mzushi

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
3,094
Reaction score
4,252

Kupitia Millard Ayo exclusive, hit maker wa bongo flavour akiri kuwa waziri fulani wa nishati alikuwa anammegea demu wake na wakati huo huo alikuwa anampa tenda za kuimba nyimbo za kupromote umeme kwa kodi zetu.

Huyu sijui ni waziri gani mwanaharamu
 
Kupitia millardiayo exclusive hit maker wa bongo flavour akiri kuwa waziri fulani wa nishati alikuwa anammegea demu wake na wakati huo huo alikuwa anampa tenda za kuimba nyimbo za kupromote umeme kwa kodi zetu.

Huyu sijui ni waziri gani mwanaharamu
Hii itakuwa kutafuta kiki baada ya kupwaya.
 
Sasa kuna tatizo gani kama demu mwenyewe ni mlupo kugongwa na waziri,lait ingelikuwa ni mke wake hapo ingekuwa ni tatizo lkn demu acha waziri apige afu ukizingatia hata diamond nae amempata toka kwa mtu mwingine
 
Hiyo interview ya siku nyingi sana (kama si miaka 2 basi 1 na nusu) ila millardayo anaiweka vipande vipande.
 
kulikuwa na haja gani kuspecify waziri "nishati na madini"?. elimu elimu..........
 
aisee usikute kuna jamaa nae anasikitika diamond alimchukulia demu wake na dem ndio huyohuyo aliemegwa na wazir
wanawake hawa wanavyotufanyaa.

kweli niamin huu mchezo hauitaj hasira.
 
Itakuwa mmoja ktk wale vijana ila Demu sio wakuuliza anajulikana tu.
 
Kumbe hii habari ni kweli, jamani wakati mwingine maneno ya mtaani tusiyapuuze. Hizi habari za Ngejela kila mtu hapa mjini alikuwa anajuwa na Aunt (mbeba mapochi a.k.a. Msukule) ndiye alikuwa refarii. Pole Domo. Kingine, Mondi ulijitakia mwenyewe, we utatembeaje na demu ka Wema anayegawa kwa kila mtu bila hata kinga na kujiheshimu?
 
Wenzako kule Uganda Kabaka akimpigia mke anaenda kumshukur. Sasa nawewe badala yakushukur unalialia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…