Diamond & WCB wanawasha taa ya njano kusuport usodoma

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
8,647
Reaction score
9,604
kwa siku za karibuni kumekua na kelele byingi zinazohusu mahusiano jinsia moja ! Ambapo wasakwa ni mashoga na wasagaji !

Kundi la WCB likiongozwa na Diamond limekua likitunga na kutoa nyimbo zenye kuhamasisha mapenzi ya kinyume na maumbile ! Japo wanatumia lugha ya picha ila ukweli na maana unabali kueleweka kwa jamii !
Naona WCB wameshachagua upande katika hili sakata. Muda unasubiri watasema chochote
 
WCB hawasapoti ushoga na kuingiliana kinyume na maumbile kwa "kutoa" na "kuandika" nyimbo tu, wanavaa mpaka "VIKUKU" na "NYWELE ZA BRAZILI".

Unaweza kukuta mpaka shanga wanavaa.[emoji18] [emoji18] [emoji18]

NB Kila mwanaume humu kwenye huu uzi atafakari yeye na roho yake mwenyewe, bila kujibu kwa comment, kama anaweza kuvaa KIKUKU??? Na akivaa atajihisi vipi akiwa anatembea????

(Sina nia ya kumkosea mtu yoyote JF heshima, ila nia yangu tutafakari usawa kama upo wa kuvaa hivo tu).
 
Diamond alisema nyimbo zao huwa azitoki mpaka mlezi wao azipitishe
 
Diamond na crew yake hawasapoti ushoga wal usagajj wao ni wafanyabiashara wanaoenda na wakati.
.
Wasikilizaji na wauzuriaji wa matamasha ya wasanii ni vijana kwa asilimia kubwa wanataka nyimbo za club banger na wana-style yao ya mavazi.
.
Wanafanya usanii tu haya ni maneno ya rayvany kwenye siku ya fainali ya biko jibebe challenge "MUZIKI SIKU UKIACHA KUNILIPA HAYA MAHERENI NA VIDUKU NAACHANA NAVYO VYOTE MIMI NI MKRISTO" mwisho wa kunukuu
 
Diamond alivua Surual Jukwaani na kubong'oa.... Huyu jamaa atakuwa anatafunwa lazima
WCB hawasapoti ushoga na kuingiliana kinyume na maumbile kwa "kutoa" na "kuandika" nyimbo tu, wanavaa mpaka "VIKUKU" na "NYWELE ZA BRAZILI".

Unaweza kukuta mpaka shanga wanavaa.[emoji18] [emoji18] [emoji18]

NB Kila mwanaume humu kwenye huu uzi atafakari yeye na roho yake mwenyewe, bila kujibu kwa comment, kama anaweza kuvaa KIKUKU??? Na akivaa atajihisi vipi akiwa anatembea????

(Sina nia ya kumkosea mtu yoyote JF heshima, ila nia yangu tutafakari usawa kama upo wa kuvaa hivo tu).
 
Nasikia nawew unewahi kupakwa mafuta na mwarabu fight? Ni kweli??

Kwa hio na wewe kwa vile ukishamaliza kuoga unajipaka mafuta kwenye makalio tusema unatafunwa?
 
Nasikia nawew unewahi kupakwa mafuta na mwarabu fight? Ni kweli??
Hoja yako haina mashiko, hunijui wala sikujui.

Ila UHAKIKA ni kua unamuwasho katika kizibo/nukta chako bila shaka, na mimi siwezi kukupa tiba ya huo muwasho wako. Namwogopa mungu, tafuta basha atakae kutimizia haja zako.[emoji18]
 
Back
Top Bottom