Mkuu huyu ni msanii na mziki unakuwa na yy anaangalia soko cyo soko LA ndani na nnje pia so hata akiimba inabidi we ujizibiti na kizazi kinachokuzunguka cyo kila kitu umfuateMkuu punguza ukali wa maneno JF. Mpaka roho imeshtuka, Dah!!!View attachment 936864
Illuminati agenda
WCB hawasapoti ushoga na kuingiliana kinyume na maumbile kwa "kutoa" na "kuandika" nyimbo tu, wanavaa mpaka "VIKUKU" na "NYWELE ZA BRAZILI".
Unaweza kukuta mpaka shanga wanavaa.[emoji18] [emoji18] [emoji18]
NB Kila mwanaume humu kwenye huu uzi atafakari yeye na roho yake mwenyewe, bila kujibu kwa comment, kama anaweza kuvaa KIKUKU??? Na akivaa atajihisi vipi akiwa anatembea????
(Sina nia ya kumkosea mtu yoyote JF heshima, ila nia yangu tutafakari usawa kama upo wa kuvaa hivo tu).
Mkuu nimepamisi sana nyege...ziMtoa post kwenye hii thread, nishushe mwanza nyege.....zi.
WCB hawasapoti ushoga na kuingiliana kinyume na maumbile kwa "kutoa" na "kuandika" nyimbo tu, wanavaa mpaka "VIKUKU" na "NYWELE ZA BRAZILI".
Unaweza kukuta mpaka shanga wanavaa.[emoji18] [emoji18] [emoji18]
NB Kila mwanaume humu kwenye huu uzi atafakari yeye na roho yake mwenyewe, bila kujibu kwa comment, kama anaweza kuvaa KIKUKU??? Na akivaa atajihisi vipi akiwa anatembea????
(Sina nia ya kumkosea mtu yoyote JF heshima, ila nia yangu tutafakari usawa kama upo wa kuvaa hivo tu).
Kwa hio na wewe kwa vile ukishamaliza kuoga unajipaka mafuta kwenye makalio tusema unatafunwa?Diamond alivua Surual Jukwaani na kubong'oa.... Huyu jamaa atakuwa anatafunwa lazima
Hoja yako haina mashiko, hunijui wala sikujui.Nasikia nawew unewahi kupakwa mafuta na mwarabu fight? Ni kweli??