Diamond we star kujipa majina mengi ni utoto

Basi buana umenishinda tufanye hio hali kumbe ni kawaida kwa mastar.enhe nimekumbuka mwingine niki mbish,mara malcom,mara unju,mara playboy,mara asee niki ndo ya kuzid
Ni kawaida kwa mastar mkuu pamoja sana
 
Kweli Mkuu inabidi aanze kujiita mtoto wa Ommy Dimpoz ndio litampendeza zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…