Diamond, Wema Sepetu anaolewa Lini?

Diamond, Wema Sepetu anaolewa Lini?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Dear Diamond
Najua uko busy sana ma chanell za pesa rejea ujumbehapo juu huyo ni mtoto wa watu Ana wazazi kama wewee

Sidhani wazazi wanafurahia kukuona nae kilamara nabkulalla nae kosa unawapelekea chochote

Ni saa ya Kuishi maisha matakatifu najua mengimabaya mmetenda Munguwetu Mungu wa msamaha

Basi hili la ndoa muoane basi muachaanenamaishs ya uzinz

Nawtaki kila la kheri
 
They are still acting ....
Kuoa ni Kujipiga kitanzi...bado hajafikiria kujihukumu ukiona hivyo
 
Maisha ya


Uzinzi sio vaislay
 
hivi weee pdidy aliyekuambia wanazini nani? labda hawajawahi kudooo wanasubiri ndoa
 
Huyo wemq mwenyewe ndo anajipeleka mwache aliwee....
 
Mademu wa siku hizi lazima ule mzigo ama sivyo waweza uziwa mbuzi kwenye gunia.
 
Sasa wema anavoliwa ovyo ivo mnategemea hapa ana hofu ya mungu, hata kutubu nahs hatubu maana kuzini ishakuwa sehemu ya maisha
 
Ndoa ni zaidi ya Kuwa wapenzi na ni suala la kufanya maamuzi ambayo kila mmoja atalidhia yawezekana muda wao wakufanya hyvo bado haujafika!
 
duh
watu mnataka hadi kuwapangia waoane lini?
 
wema wema njoo nikuoe kwa kazi yangu ya kuhhza milungi najua ntakutunza achana na wahuza sura njoo kwa kisumapai
 
Yenu mmeyafyata ya wenzenu Midomo Juuu! ( neno la khanga yangu mpya ) naina linamake sense !
 
Back
Top Bottom