ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Nunua na weweAcheni hizo,hayo ni makolabo tu yananunuliwa sikuiz!
Mbona Chris Brown mwenyewe kaishiwa?
nani ambae hajaishiwa?mbona Chris Brown mwenyewe kaishiwa?
Ni kweli yananunuliwa tena kwa pesa kubwa sana kama wewe kwao/kwake hautokuwa na msaada wa muziki wake, ila atakuwa anakupa msaada wewe ( rejea kolabo ya kiba na Davido iliyoshindikana jamaa alitaka $ 100,000/= kwa kuwa Davido kamuona Alikiba ni Underground,si Davido tu hata kwa Wizkid pia kashindwa hii habari haizungumzwi na wengi hawaijui ) Lakini kwa DIAMOND ni tofauti wanamjua yeye ndio king of East Africa huwa hawalipi ( kwa sababu wao kabla ya kufanya kolabo na wewe wanapitia "mafaili" yako je una nguvu ya kiasi gani ....)Acheni hizo,hayo ni makolabo tu yananunuliwa sikuiz!
teh teh tehYuko kwa Ras simba au chimbo gani?