Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

NO,hamtuelewi, tukipata mwanaume anafanya mizinguo..na sisi.. tunazingukia humo humo..LOL
Haswaa.. Tena tunazingua hadi shetani anakaa pembeni anashangaa yanayotokea. Ni rahisi sana kwa mwanamke kumfanya mwanaume ajione si lolote si chochote. That explains why Dai alijikuta anaokota kila type na kupeleka Madale baada ya kuachana na zee. ile ilikuwa ni kuji comfort kwamba yeye bado ni kidume
 

Naona unajipa moyo huku unajua kabugi.. Bora angemuongelea Tanasha wake. . Kiki imeenda kwa Queenbae na Kingbae.. Nyimbo haiongelewi na lazima analia kuona Zari ndio alikuwa anamsaidia kuwika. Na humu imeonyesha hivyo.
 
Naona unajipa moyo huku unajua kabugi.. Bora angemuongelea Tanasha wake. . Kiki imeenda kwa Queenbae na Kingbae.. Nyimbo haiongelewi na lazima analia kuona Zari ndio alikuwa anamsaidia kuwika. Na humu imeonyesha hivyo.
Na humu imeonesha hivyo.
 
Mapenzi yanauma,kumegewa kunauma zaidi hahahahahaa

Hahaha, kwa hiyo ndo kaanza kuumia leo, mbona wameachana mudaa? Angenyamaza tu they are in separate ways now hakuwa na haja ya ku seek sympathyyani
 
Tena kwa Chips kuku. Mwenzao ana watoto wazur I, matajiri na wanasoma Vizuri
 
Kusema vitu vinavyokusumbua inaleta afya ya ubongo
 
Alichofanya Mondi "Dangote",na Zali "the boss lady"ni kuji dhalilisha mbele ya jamii.Hakina faida yoyote,ni utoto sana,yaani unamtukana mama wa watoto wako kwamba ni kicheche!
Hivi Latipha angekuwa binti mkubwa,harafu unamuita mama yake Malaya!unafikiri binti yako angejisikiaje?
Hakuna haja ya kuweka mambo yenu hadharani,huku duniani kuna watu wanafurahi mmeachana,yaani kwao furaha ni pale wanapoona wengine wanakumbwa na majanga,wanataka umbea tu!
 
Na uzuri zari hafichi wala kufuta past zake picha nyingi zipo kwenye account zake anaetaka anapekua na kuchukua

Wanatunga story nyiingii kila siku mpya wanasahau uongo wa zamani
 
Unamuamini Kama alivyosema mtoto wa Hamisa mobetto sio wake pale Clouds fm?
Kawaida hyo mbona...kwa hili namuamini diamond sanaa tu 100% kasema ukweli alikaa kimya siku nyingi mnoo watu wakamuona falaa mondi,nilijua ipo siku ukweli utaanikwa...malipo humu humu mitandaoni!!
 
yaani na huu mwendo wa single mothers aisee watoto wanakuwa na mapenzi 0% na wazazi wa kiume kwa kuwa wanachongeshewa maneno na huwa wanakua nayo hivyo hivyo kwa kuwa picha ya maisha wanaiona kutoka kwa mama...
 
Akili zenu za kushikiwa Nyie
Network ina hama wakati wowote!

Ova
 
Kawaida hyo mbona...kwa hili namuamini diamond sanaa tu 100% kasema ukweli alikaa kimya siku nyingi mnoo watu wakamuona falaa mondi,nilijua ipo siku ukweli utaanikwa...malipo humu humu mitandaoni!!
Ndo Kama alivyosema Zari alikuwa anamcheat alafu sentensi ya mbele anasema Zari alikuwa muaminifu na wife material kwake ?
Anasema alikuwa anatuma dola 2000 kwa mwezi baadae sentensi ya mbele anasema Zari kamblock hata kumuomba a/c ya kutuma hela kwa watoto anashindwa ataongea na mwanasheria wake ili Zari atoe a/c namba?

Anasema Zari alimpenda kuliko yeye alivyompenda sentensi ya mbele anasema chanzo Cha ugomvi na kuachana Ni Zari kugoma kuamia Tanzania ili waishi wote
Kwaiyo mtu usiempenda unaweza mtaka aje muishi wote?


Huyu ndo mtu unamuamini kwa 100%,?
Your better than this
 
Mimi namuamini daimond adanganye,aseme ukweli vyovyote nimechagua kumuamini,daimond sio mtoto mdogo kiasi cha kukubali kutengana na Zari kirahisi hvyo wakati angeweza muoa bila shida yoyotee...ukiona mtu mzima analia ujue kuna jambo

Zari kaongea sana and people choose to believe her..ukute hata yeye alikua anadanganya

Hayo yote yangeweza kusettle if and only if wangekaa pamoja so nimemuelewa daimond!!
 
Demu hata uwe maarufu au tajiri kama humkojozi atacheat tu.. Wanaume wengi wanajidanganya na status zao . Mondi jitafakari unakojoza au lepwelepwe maana mademu zako wote wanakucheat unawaangusha wanaume wa Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…