Diamonds are Forever 2017

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,327
Meneja wa Diamond Platnumz, Sallam SK aka ‘Fundi Mitambo’ ametangaza ujio mpya wa tamasha kubwa la Diamonds Are Forever 2017 ambapo safari hii litafanyikia katika uwanja wa Taifa.

Muimbaji huyo alifanya tamasha hilo kwa mara ya kwanza nchini mwaka 2012 katika ukumbi wa Mlimani City show ambayo ilihudhuriwa na watu wengi kwa kiingilio cha Tsh 50,000 na 100,000 kwa VIP.

Sallam akizungumza live na mashabiki katika mtandao wa Instagram (Insta Live) alisema show hiyo ipo kwenye maandalizi na itafanyika uwanja wa Taifa.

“Mjiandae na Diamonds Are Forever 2017, Diamonds Are Forever 2017 is back,” Sallam aliwaambia mashabiki.

Meneja huyo alidai safari hii tamasha hilo litafanyika uwanja wa taifa ili kuwapa fursa watu wengi zaidi ya kuhudhuria.

Hata hivyo hakuweka wazi ni lini au mwezi gani tamasha hilo litafanyika.

Hii ilikua ya mwisho
 
We jamaa unakujaga na mambo kwa kukurupuka.. Kasema wapi? Lini? Audio iko wapi? Mtu timamu huwa anatulia analrta habari imekamilika izi habari za Diamond kila siku alafu hazina source uziache..
 
Povu.com
 
Heh.!! Watu wengine!!
 
We jamaa unakujaga na mambo kwa kukurupuka.. Kasema wapi? Lini? Audio iko wapi? Mtu timamu huwa anatulia analrta habari imekamilika izi habari za Diamond kila siku alafu hazina source uziache..
Team K bana..si mtulize mshonoo??
 
We jamaa unakujaga na mambo kwa kukurupuka.. Kasema wapi? Lini? Audio iko wapi? Mtu timamu huwa anatulia analrta habari imekamilika izi habari za Diamond kila siku alafu hazina source uziache..
Y5jlggihjjhjibg6ikkkjmokmjhmnojoihlhtijikhnilkhbllkkklvjjhujhblhjnjghbvvk
 
We jamaa unakujaga na mambo kwa kukurupuka.. Kasema wapi? Lini? Audio iko wapi? Mtu timamu huwa anatulia analrta habari imekamilika izi habari za Diamond kila siku alafu hazina source uziache..
Chuki itakuuua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…