Mkalukungone mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 862 Reaction score 1,755 Aug 1, 2024 #1 Mlinda mlango wa klabu ya Yanga Sc, Djigui Diarra ameshinda tuzo ya golikipa bora wa Michuano ya FA (CRDB FEDERATION CUP). Diarra amewashinda Khomein Abubakar kutoka Ihefu (Singida Black Stars) na Mohamed Mustafa kutoka Azam Fc. Soma zaidi: Leo ndiyo usiku wa tuzo za TFF kwa wanasoka waliofanya vizuri msimu wa 2023/2024
Mlinda mlango wa klabu ya Yanga Sc, Djigui Diarra ameshinda tuzo ya golikipa bora wa Michuano ya FA (CRDB FEDERATION CUP). Diarra amewashinda Khomein Abubakar kutoka Ihefu (Singida Black Stars) na Mohamed Mustafa kutoka Azam Fc. Soma zaidi: Leo ndiyo usiku wa tuzo za TFF kwa wanasoka waliofanya vizuri msimu wa 2023/2024
ILISACHA JF-Expert Member Joined Oct 29, 2019 Posts 2,184 Reaction score 4,030 Aug 2, 2024 #2 Kuna kikundi cha wahuni kinajinasibu kuwa kimesajili acha tuone uzuri msimu ndo huo hapo unaanza next week
Kuna kikundi cha wahuni kinajinasibu kuwa kimesajili acha tuone uzuri msimu ndo huo hapo unaanza next week
Midekoo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2015 Posts 45,757 Reaction score 246,786 Aug 2, 2024 #3 Hongera zake