DIARRA BADO YUPO SANA: Klabu ya Yanga imetangaza kumwongezea mkataba golikipa wake Djigui Diarra na sasa- nyota huyo atasalia mitaa ya Jangwani mpaka msimu wa 2024/25.
Diarra alijiunga na Yanga mwanzoni mwa msimu wa 2021/2022 akitokea klabu ya Stade Malien ya Mali.
#YangaSC #Yanga