Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
🥇 KIPA namba moja wa Yanga, Djigui Diarra amefikisha clean sheet 16 katika Ligi Kuu na zikiwa zimebaki mechi tatu kwa kila timu ili kukamilisha msimu tayari ametangazwa Kipa Bora wa msimu kutoka na na kuwa na clean sheet 16 hadi sasa ambazo haziwezi kufikiwa na kipa yeyote. 🧤