Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Huwa naangalia mechi za Simba, nawajua, kwahiyo nilimuona anavyocheza na nilifahamu akipata mpira eneo lile atafanya nini, nilijua ataenda kushoto na sikuwa na presha.
"Nilivyookoa sikuhama eneo nikasimama vile vile nilijua mpinzani atapiga nikaokoa tena"
Mechi yangu bora ya Simba na Yanga tangu nifike hapa ni hii ya juzi ya ushindi wa bao 1-0 kwasababu nilifika Tanzania siku ya mechi na nashukuru sana tulishinda, kiukweli hii ni mechi bora sana kwangu"