Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Hili utaishia kutamani tu.Ishu siyo kwenda kushoto, Ateba aliwahi kutanua kushoto wakati Diarra bado yuko mbali.
By the way, mnaosema Ateba angempa Kibu, pale Kibu angeitiwa offside akabaki kujilaumu kwa nini hakufunga mwenyewe. Move kama ile, mshambuliaji yoyote anajua kama unaona unaweza kufunga ni afadhali ujaribu mwenyewe kuliko kutoa pasi kwa mwenzio anayeweza kuwa offside.
Yanga imshukuru sana Diarra. Lile lingekuwa goli, Simba ingeenda halftime na hata goli mbili na kipindi cha pili pressure ya kutaka kurudisha wangeweza kufungwa zaidi. Ukishapigwa goli 3 halafu watu bado wanakuja kama nyuki, ni rahisi sana kufika 6.
Kwa mara ya kwanza nimeona nimeona umeandika point.Ishu siyo kwenda kushoto, Ateba aliwahi kutanua kushoto wakati Diarra bado yuko mbali.
By the way, mnaosema Ateba angempa Kibu, pale Kibu angeitiwa offside akabaki kujilaumu kwa nini hakufunga mwenyewe. Move kama ile, mshambuliaji yoyote anajua kama unaona unaweza kufunga ni afadhali ujaribu mwenyewe kuliko kutoa pasi kwa mwenzio anayeweza kuwa offside.
Yanga imshukuru sana Diarra. Lile lingekuwa goli, Simba ingeenda halftime na hata goli mbili na kipindi cha pili pressure ya kutaka kurudisha wangeweza kufungwa zaidi. Ukishapigwa goli 3 halafu watu bado wanakuja kama nyuki, ni rahisi sana kufika 6.
Kwanini wamshukuru wakati wanamlipa mshahara kwa kazi hiyo!Ishu siyo kwenda kushoto, Ateba aliwahi kutanua kushoto wakati Diarra bado yuko mbali.
By the way, mnaosema Ateba angempa Kibu, pale Kibu angeitiwa offside akabaki kujilaumu kwa nini hakufunga mwenyewe. Move kama ile, mshambuliaji yoyote anajua kama unaona unaweza kufunga ni afadhali ujaribu mwenyewe kuliko kutoa pasi kwa mwenzio anayeweza kuwa offside.
Yanga imshukuru sana Diarra. Lile lingekuwa goli, Simba ingeenda halftime na hata goli mbili na kipindi cha pili pressure ya kutaka kurudisha wangeweza kufungwa zaidi. Ukishapigwa goli 3 halafu watu bado wanakuja kama nyuki, ni rahisi sana kufika 6.
Unajua mpira kweli?🤔 Kwamba kibu angepewa mpira ingekua offside🤔 kwani kibu alikuepo eneo lile kabla ateba hajafika pale ? Kibu alitoka nyuma ukoIshu siyo kwenda kushoto, Ateba aliwahi kutanua kushoto wakati Diarra bado yuko mbali.
By the way, mnaosema Ateba angempa Kibu, pale Kibu angeitiwa offside akabaki kujilaumu kwa nini hakufunga mwenyewe. Move kama ile, mshambuliaji yoyote anajua kama unaona unaweza kufunga ni afadhali ujaribu mwenyewe kuliko kutoa pasi kwa mwenzio anayeweza kuwa offside.
Yanga imshukuru sana Diarra. Lile lingekuwa goli, Simba ingeenda halftime na hata goli mbili na kipindi cha pili pressure ya kutaka kurudisha wangeweza kufungwa zaidi. Ukishapigwa goli 3 halafu watu bado wanakuja kama nyuki, ni rahisi sana kufika 6.
Angalia tena tukio, wakati Ateba anapokea mpira, Kibu alikuwa mbele yake. Kama kuna wanaosema mguu wa Ateba ulimfanya kuwa offside, itakuwaje Kibu ambaye alikuwa mbele zaidi?Unajua mpira kweli?🤔 Kwamba kibu angepewa mpira ingekua offside🤔 kwani kibu alikuepo eneo lile kabla ateba hajafika pale ? Kibu alitoka nyuma uko
Kama angefungwa, hata wewe usingeuliza swali kama hili muda huuManeno meeeengi baada ya kupata ushindi.Hivi angeokoa kama alivyofanya, ila akafungwa baadae kwa namna nyingine hizi tantarila anazoongea saa hizi angeziongea?
Imebaki story tu za "wange" na "tunge".Ishu siyo kwenda kushoto, Ateba aliwahi kutanua kushoto wakati Diarra bado yuko mbali.
By the way, mnaosema Ateba angempa Kibu, pale Kibu angeitiwa offside akabaki kujilaumu kwa nini hakufunga mwenyewe. Move kama ile, mshambuliaji yoyote anajua kama unaona unaweza kufunga ni afadhali ujaribu mwenyewe kuliko kutoa pasi kwa mwenzio anayeweza kuwa offside.
Yanga imshukuru sana Diarra. Lile lingekuwa goli, Simba ingeenda halftime na hata goli mbili na kipindi cha pili pressure ya kutaka kurudisha wangeweza kufungwa zaidi. Ukishapigwa goli 3 halafu watu bado wanakuja kama nyuki, ni rahisi sana kufika 6.
Mimi mpira naujua sana ni kwamba unapataga wakati mgumu kunielewaKwa mara ya kwanza nimeona nimeona umeandika point.
Kwanini wamshukuru wakati wanamlipa mshahara kwa kazi hiyo!

Wanasema ilikua ni extra job.Kwanini wamshukuru wakati wanamlipa mshahara kwa kazi hiyo!