Diarra ni mwarobaini wa Manchester united

Akienda Man U tunguli za yanga atamuachia nani, walioziacha si umeona kilichowakuta.
 
Kwa kweli hata mimi huwa naona kuwa Diarra sio wa kawaida ni level nyingine kabisa, ni suala la muda tu, tena sio muda mrefu.
Kabisa mkuu...jamaa anajua
 
Diarra Yupo YANGA alafu Onana Yupo Manchester United..Life is not fair.!![emoji17]

Nadhani ni wakat wa diarra kwenda kuokoa jahazi pale mwantesa united
Naunga mkono hoja kuwa Diara aende Man U, halafu Onana aje Ihefu, na golikipa wa Ihefu aende Yanga
 
Diarra Yupo YANGA alafu Onana Yupo Manchester United..Life is not fair.!![emoji17]

Nadhani ni wakat wa diarra kwenda kuokoa jahazi pale mwantesa united
Diara na kaseja wote wanazuiwa na kitu kimoja kufika mbali ingawa ni talented players, vimo vimewaangusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…