Rev nimetoka kuangalia hiyo list. Mhmmm! inatisha kweli kweli. Yaani ni mwendo wa kina Kamazima,Katatumba,Ndyabahika na Yebalibinga. Inaonyesha jamaa wanavyojipanga. Just a joke, naona nafasi ya Treasurer wameitenga kwa Tanzania, iombe kwa kutumia jina la Masanja tuone.