Diaspora Hawatoi connection?

Pamoja sana mwongoza njia
 
Hii kitu bwana Wabongo wanapenda lawama jonsonjohn kupitia kwenye website yake wwww.digxam.co ametafuta sana watu kwajili ya kufanyia connection ya kuingia Japan watu kamkataa baada ya mwezi akafuta akaona ujinga leo watu wanalaumu nini
 
Sisi tumesaidiwa, tunasaidia na watu wanaendelea kusaidiwa. Nani aliyefika hakupewa msaada unless alikua na mambo ya hovyo. Kuna mambo watu mnajiongelea tu au mnataka tukisaidiana tuwe tunapost?
Kiongozi nna swali ukishinda dv ok una passport tayari gharama ni kiasi gani as nauliza IDs etc ni kama dollar ngapi? Msaada.
 
Mtegemea cha Ndugu......
Mtu yeyote anayesubiri connection ni ngumu Sana kutoboa.
Mara nyingi connection zinatokeaga tuu ukiwa kwenye Line, yaani ukiwa kwenye harakati.
Kabisa Kaka umesema kweli vile ni vyema kupambana wewe mwenyewe ili ufike pale unapopataka.
 
Shukurani kaka.hatujakamilika mkuu.poleni na samahani kwa niliyemkwaza has a bufa
Hakuna tatizo furahia maisha ndugu kama leo kuna giza jua kesho kutakua na mwanga shukuru alafu zidi kupambana huku ukimuomba Mungu afungue milango yake ya baraka.
 
Umeongea ukweli mzito ila maneno yanayoumiza. Yaani ukweli unaouma! 👍🏾

Vipi kijana asiye na wazazi?! Kwahiyo msaada kwake ndo mwisho?! 🤔
 
Hakuna tatizo furahia maisha ndugu kama leo kuna giza jua kesho kutakua na mwanga shukuru alafu zidi kupambana huku ukimuomba Mungu afungue milango yake ya baraka.
Wengine maisha yao ni giza mwanzo mwisho 😁👍🏾

Mwambie apambane!

"A situation will change in life until u stand up and decide to change it by yourself!... a ball is in your hand"
 
Umeongea ukweli mzito ila maneno yanayoumiza. Yaani ukweli unaouma! 👍🏾

Vipi kijana asiye na wazazi?! Kwahiyo msaada kwake ndo mwisho?! 🤔

Msaada unatoka Kwa Mungu,
Mungu ndio mwenye wajibu wa kusaidia Watu wake iwe Kwa kupenda au asipende. Kwani ndio majukumu yake.

Ila Kwa Sisi wanadamu tunasaidia Kwa hiyari, mapenzi na upendo.
Kamaa MTU hapendi kusaidia MTU au mtoto yatima hiyo sio dhambi au KOSA.
Kwani hakuna amri ya kumlazimisha hiyari ya watu
 
Naona unabadilisha mada twende kwenye mahubiri kama tupo kwenye kwaresma na darsa kama tupo misikitini mwezi mtukufu wa Ramadhan

Tumeamrishwa kutoa Zakat na sadaqa, tusaidie wahitaji kwani rizq yao hupitia mikononi mwetu. Mungu hawezi shusha msaada wake direct kwako kwa mkono wake mwenyewe aliyepata bahati hiyo ni Mtume Ibrahiim peke yake.

Punguza ukali wa maneno komredi ingawa unachoongea ni ukweli wala hujakosea.
 
Haina haja mkuu lkn ukwel ndo huo weka moyoni.omba na Mimi nisifanikiwe ktk life kama ww, nitakutafuta hata nikikukosa nitamtafuta mtoto wako nimsaidie
We nae una akili za kitoto!

Ukamtafute mtoto wa mtu humjui umsaidie kisa baba/Mama yake au mlezi alikujibu vibaya mtandaoni na hakukupa msaada?! Una miaka mingapi mdogo wetu?!

WORK-HARD!..., VALUE YOUR TIME!... AND MAKE SURE U MAKE YOUR OWN LEGAL MONEY EFFICIENTLY!
 

Sasa hapo Chini umesema ninachoongea ni kweli na sijakosea alafu muda huohuo ni kama unataka nitoke nje ya mada...

Ndio maana nikakuambia MTU atatoa au kusaidia hao Watu Kwa hiyari yake na sio wajibu au lazima. Wapi hauelewi?
Unajua amri ni lazima?

Kumpenda MTU ni hiyari sio amri
 
Kwahiyo wewe umejiwekea maishani mwako kuna watu unawachagua wewe hawa NAWAPENDA na hawa SIWAPENDI?! 😀
 
Hii kitu bwana Wabongo wanapenda lawama jonsonjohn kupitia kwenye website yake wwww.digxam.co ametafuta sana watu kwajili ya kufanyia connection ya kuingia Japan watu kamkataa baada ya mwezi akafuta akaona ujinga leo watu wanalaumu nini
Mkuu huyu mtu nampataje, shida ni access ya information
 
usikate tamaa mtafute mdau hapo juu akupe mwongozo hakuna linaloshindikana chini ya jua ila punguza kulaumu watu Mungu atakufungulia njia yako pia.
Shukurani kaka.hatujakamilika mkuu.poleni na samahani kwa niliyemkwaza has a
Umeongea ukweli mzito ila maneno yanayoumiza. Yaani ukweli unaouma! 👍🏾

Vipi kijana asiye na wazazi?! Kwahiyo msaada kwake ndo mwisho?! 🤔
Achana naye mkuu .anaona kashafika yeye
 
Huwezi amua kumpenda au kumchukia MTU.
Hayo mambo yanakuja automatically tuu.
Yaani mazingira yanakufanya ujikute unampenda huyu alafu Yule haumpendi
Utakuwa na Dosari bwana Robert. Kataa chuki nafsini mwako.

Binafsi nachukia Mashoga na mabasha duniani!... hawa ni mashetani na majini mabaya yanayoonekana kwa macho.

Nachukia wezi na Vibaka kwa sababu hawataki kujishughulisha na kujiongeza, wanataka vya rahisi.

Tanguliza upendo kwa kila mtu maishani, popote uendapo Duniani ipe chuki asilimia chache sana nafsini mwako. Unaepukana na mengi. Chuki ni maradhi ya moyo.

Huwezi kumchukia mtu suddenly kwa maamuzi tu huo ni uzwazwa na shida ya akili.
 
Huwezi amua kumpenda au kumchukia MTU.
Hayo mambo yanakuja automatically tuu.
Yaani mazingira yanakufanya ujikute unampenda huyu alafu Yule haumpendi
Mkuu huu uzi unahusu mambo ya connection za kwenda nje.
Pili hakuna kitu kinakuja automatically kama unavyosema japo unajichanganya mara mazingira mara automatically.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…