Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Carlitos Ways Wanaokusumbua ni washikaji ambao hawana namna na connection ila sio lazima uwasaidie mkuu.Na neno""Bata""inategemea na tafsiri yako mkuu,kwetu sisi neno bata inamaanisha kufurahia maisha kwa kujenga nyumba nzuri,kusaidia wazee wetu,kuimarisha biashara zetu,kula vizuri,kuvaa vizuri and ect......Future ipo tu hatuwezi kujinyima sababu ya miaka 50 mbele🤣🤣🤣 Tunaishi present kwa kudra za mwenyezi Mungu,so lazima tufurahie uhai mkuu.Au kwako neno""Bata""linamaanisha nn???Basi msitusumbue huku na connection ***** zenu, endeleeni kula bata tu, Nyie mnawaza kula bata sie tunawaza familia na kizazi chetu miaka 50 ijayo. Tabia zenu hizo za uselfishness kaeni nazo hukohuko.
😂🤣🤣🤣🤣Ulikula ganja ndani ya vitafunwa🤣🤣🤣 Utamaduni wa watu wa Suriname kutoka Caribbean🤣🤣🤣Wamejaa sana HollandKuna jamaa yetu anaitwa "Jamaloo" ni msomali ndo alikuwa kama tour-guide wetu alitupitisha sehemu nyingi sana! Kuna Restaurant ni ya wajamaica sitasahau nilikula vitu kama slice-cake ile sijui... sijui ni kashata kwakweli hata sielewi vilikuwa vitamu ajabu ila kwenye recipe zake na bangi ndani. Nililala kama pono siku hiyo 😂
Yeah man sana! Hata england pia wapo wengi mno!😂🤣🤣🤣🤣Ulikula ganja ndani ya vitafunwa🤣🤣🤣 Utamaduni wa watu wa Suriname kutoka Caribbean🤣🤣🤣Wamejaa sana Holland
Ok ok poa nimekuelewa, ila kama ni nyumba tu huko bongo ninazo 3 wanaishi ndugu na ingine nakusanya kodi. Kwahio kama bata ndio hilo basi hata mie nalila kiaina. Kuhusu present and future pia ni sawa maana watu weusi wengi na haswa wabongo uwa wanawaza zaidi present na sio future na hio ni kutokana na serikali ya ma ccm kuwalewesha ujinga wananchi wake wakati vizazi vyao vinaendelea kwa kuwaza future zaidi. Mie neno bata ni kufurahia maisha pia kwa kwenda ma vacation kama Rio De Janeiro, cancun, Havana etc. Tunatofautiana .I agree to disagree; kila mtu ashinde mechi zake, tusitafutiane ubaya na connection ndio muanze kutuponda wabeba mabox.Carlitos Ways Wanaokusumbua ni washikaji ambao hawana namna na connection ila sio lazima uwasaidie mkuu.Na neno""Bata""inategemea na tafsiri yako mkuu,kwetu sisi neno bata inamaanisha kufurahia maisha kwa kujenga nyumba nzuri,kusaidia wazee wetu,kuimarisha biashara zetu,kula vizuri,kuvaa vizuri and ect......Future ipo tu hatuwezi kujinyima sababu ya miaka 50 mbele🤣🤣🤣 Tunaishi present kwa kudra za mwenyezi Mungu,so lazima tufurahie uhai mkuu.Au kwako neno""Bata""linamaanisha nn???
Bas ndio utamaduni wao huo wanachanganya vyakula na bangi🤣🤣🤣Hata wajamaica hawaoni ndani.Kumbe na England wamejaa????Sikujua kabisa mkuu,mimi nilijua wapo Holland tu,sababu Suriname lilikua koloni la muholanziYeah man sana! Hata england pia wapo wengi mno!
Nikifika tu state for working trip,nawatafuta wewe😂🤣🤣🤣@ Carlitos Ways na @ Bufa 😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣nioshe tongotongo maana kuku mgeni hakosi kamba mguuni🤣🤣🤣🤣 Holiday za kwenda Rio di jeneiro siziwezi mkuu,nitakula mtaji🤣🤣🤣🤣🤣 .But now dayz dar imepooza sana mkuu sio kama ile miaka ya 90,s na 2000,s mpaka 2005.Kinondoni kumepooza🤣🤣🤣🤣 Mji umehamia kwa WAKULUNGWA tabata.Ok ok poa nimekuelewa, ila kama ni nyumba tu huko bongo ninazo 3 wanaishi ndugu na ingine nakusanya kodi. Kwahio kama bata ndio hilo basi hata mie nalila kiaina. Kuhusu present and future pia ni sawa maana watu weusi wengi na haswa wabongo uwa wanawaza zaidi present na sio future na hio ni kutokana na serikali ya ma ccm kuwalewesha ujinga wananchi wake wakati vizazi vyao vinaendelea kwa kuwaza future zaidi. Mie neno bata ni kufurahia maisha pia kwa itkwenda ma vacation kama Rio De Janeiro, cancun, Havana etc. Tunatofautiana .I agree to disagree; kila mtu ashinde mechi zake, tusitafutiane ubaya na connection ndio muanze kutuponda wabeba mabox.
Karibu karibu sana mkuu, Dar nilikuwepo hapo hivi karibuni pamepoa sana na watu wengi wapo Dhufli - hally wamechoka mbaya sana. Ukimnunulia mtu shots za hennesy anakushukuru utasema umemjengea banda la kujihifadhi teehteehteh. Mjini pako kimyaaa hamna pilika pilika za enzi zetu watu wanacheza na documents jioni wanapooza koo. Anyway, bongo pamebadilika sana ingawa bado watu hawajawa na discipline ya pesa. Mama Kamala Harris atawaokoa kwa visa hizo alizosema na kuomba connection JF kutapungua, kila mtu ashinde mechi zake 🤣 🤣 🤣 🤣 . InshAllah.Nikifika tu state for working trip,nawatafuta wewe😂🤣🤣🤣@ Carlitos Ways na @ Bufa 😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣nioshe tongotongo maana kuku mgeni hakosi kamba mguuni🤣🤣🤣🤣 Holiday za kwenda Rio di jeneiro siziwezi mkuu,nitakula mtaji🤣🤣🤣🤣🤣 .But now dayz dar imepooza sana mkuu sio kama ile miaka ya 90,s na 2000,s mpaka 2005.Kinondoni kumepooza🤣🤣🤣🤣 Mji umehamia kwa WAKULUNGWA tabata.
Ulikuwa nchi gn mkuu umerudi Lin?Bro europe life ni tamu kaz zipo sijaadithiwa na mtu uwe mchapa kaz tu mi nmerud bongo lakini najuta why nilirud sema tu ni my parents wish lakini Europe asikuambie mtu kugumu sema tu gumu kama we mvivu
Nyie wazee wa clearing and forward nazijua sana vurugu zenu kinondoni kipindi kile🤣🤣🤣🤣,mlipata opportunity kipindi kile kabla teknolojia haijaharibu mambo.Bongo hatuna nidhamu ya pesa sababu tunachopata hata tukimake hatufiki popote bora tutumbue tu🤣🤣🤣Karibu karibu sana mkuu, Dar nilikuwepo hapo hivi karibuni pamepoa sana na watu wengi wapo Dhufli - hally wamechoka mbaya sana. Ukimnunulia mtu shots za hennesy anakushukuru utasema umemjengea banda la kujihifadhi teehteehteh. Mjini pako kimyaaa hamna pilika pilika za enzi zetu watu wanacheza na documents jioni wanapooza koo. Anyway, bongo pamebadilika sana ingawa bado watu hawajawa na discipline ya pesa. Mama Kamala Harris atawaokoa kwa visa hizo alizosema na kuomba connection JF kutapungua, kila mtu ashinde mechi zake 🤣 🤣 🤣 🤣 . InshAllah.
Mzee unatoa shotsi za hennesy🤣🤣🤣🤣Nakupa mkono wa kongole🤣🤣🤣🤣Nyie watu wa clearing and forward hamuachagi vurugu zenu😂😂😂Karibu karibu sana mkuu, Dar nilikuwepo hapo hivi karibuni pamepoa sana na watu wengi wapo Dhufli - hally wamechoka mbaya sana. Ukimnunulia mtu shots za hennesy anakushukuru utasema umemjengea banda la kujihifadhi teehteehteh. Mjini pako kimyaaa hamna pilika pilika za enzi zetu watu wanacheza na documents jioni wanapooza koo. Anyway, bongo pamebadilika sana ingawa bado watu hawajawa na discipline ya pesa. Mama Kamala Harris atawaokoa kwa visa hizo alizosema na kuomba connection JF kutapungua, kila mtu ashinde mechi zake 🤣 🤣 🤣 🤣 . InshAllah.
😀 nimecheka sana,ukweli mchunguNa hasa sisi wanaume tuna *OHO MBAYA SANA kusaidiana yani ni bora umweleze shida yako mwanamke atakuskiliza
Nikifika tu state for working trip,nawatafuta wewe😂🤣🤣🤣@ Carlitos Ways na @ Bufa 😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣nioshe tongotongo maana kuku mgeni hakosi kamba mguuni🤣🤣🤣🤣 Holiday za kwenda Rio di jeneiro siziwezi mkuu,nitakula mtaji🤣🤣🤣🤣🤣 .But now dayz dar imepooza sana mkuu sio kama ile miaka ya 90,s na 2000,s mpaka 2005.Kinondoni kumepooza🤣🤣🤣🤣 Mji umehamia kwa WAKULUNGWA tabata.
Sidhani kama mtu umepata visa ya marekani na ukaja humu jf kutafuta host marekani ukakosa. Anachosema mtaalamu ni ukweli 100%. Wewe kama msafiri unahitaji uijue safari na requirement zake maana visa interview ni wewe na visa officer. Ila ukipata visa njoo humu jf mbona utapata wengi mno by the way ni wanyamwezi mnoo hawana roho mkunjo kama huku bongo na wanapenda new comers kupunguza home sick.
Mimi nataka connection ya ku export mafuta ya asili mkuu
Nina
Sesame
Avocado
Castor
Beeswax
Zote ni cosmetics grade
Hapo umeongea pointi mkuu.Nadhani ukitaka kusaidiwa na wewe ujisaidie kwanza.Nikifika tu nitakuchek mkuu nioshe macho kabla sijarudi bongo,na brother wa clearing and forward a.k.a mabishoo wa city center @ Carlito Ways mzee wa kugawa shoti za hennesy kwa wakulungwa huku bongo 🤣🤣🤣🤣.🤣🤣🤣 Karibu sana mkuu, njoo ujionee kama wabongo tunaroho ya korosho au roho safi. Hatuna shida na mtu ila tunataka mtu anayejiongeza kabla ya kulialia kusaidiwa maana hata sisi tulisaidiwa baada ya kujisaidia. We have to meet halfway.
Ukitua Chicago O'Hare airport nakupokea mwenyewe 😁
🤣 🤣 🤣 🤣 duh nimekua bishoo tena mkuu poa poa, ila mie nipo GA state kiongozi. Karibu sana nikupige shots za ukweli huku. Wabeba mabox hatuna kikorosho ni nyie tu huko waturutumbi hamtuelewi.Hapo umeongea pointi mkuu.Nadhani ukitaka kusaidiwa na wewe ujisaidie kwanza.Nikifika tu nitakuchek mkuu nioshe macho kabla sijarudi bongo,na brother wa clearing and forward a.k.a mabishoo wa city center @ Carlito Ways mzee wa kugawa shoti za hennesy kwa wakulungwa huku bongo 🤣🤣🤣🤣.