Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Ndugu zangu Diaspora tunapopigania uraia Pacha tuwe japo na data zakuonyesha mchango wetu kwenye uchumi WA Tanzania. Tuamue SASA kulazimisha remittance zisomeke kwenye vitabu vya hesabu, tukubali Kwamba huyu ndio wakati wa kuonyesha Tanzania ni Bora kuliko Taifa lolote na kwamba tulipoondoka Tz tulikwenda kutafuta.
Tuanze kujadili haya katika bajeti ya Mwaka huu inayotarajiwa kusomwa mwezi WA sita mwaka huu, tuache mbambamba tuonyeshe tupo serious na uraia Pacha na kwamba tupo tayari kujenga uchumi WA Tanzania. Wenzetu wanaposukuma agenda ya katiba mpya tumelala then tunategemea katiba yenye dual citizenship? NO, tuonyeshe tupo tayari kwenye mapigano ya katiba mpya.