Diaspora jana 01/19/2018

Mr PJ

Senior Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
102
Reaction score
203
Habari wenzangu, jana nimechelewa kidogo kuangalia kikao cha diaspora na waziri wa katiba na sheria mh. Prof Paramagamba Kabudi, ila nikasikia diaspora mwanzoni kabisa walikua wameainisha fursa mbalimbali tunazoweza kufanya nakutusaidia, nilisikia prof akiongelea kuhusu vitunguu na sikupata mwanzo wa mjadala huo. Kama kuna mtu alifuatilia mwanzo mpaka nwisho atujuze na sisi fursa hizo ni zipi pia kama kuna mtu au wahusika wa wizara wanaoweza kutuumganisha na wahusika huko diaspora tufanye kazi kwa pamoja itakua poa sana. Karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…