herikipaji
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 1,198
- 1,369
Kivipi mkuu?Kung'olewa kucha
Kwanini?hutawapata kwa gia hiyo
Asante sana naomba tupange appointment ili tuonane.Karibu sana mimi nipo hapa Lenin tower
Mbona Wabongo ni wengi sana hapo Moscow? Tafuta msichana wa Kirusi akuelekeze viwanja wanavyoenda mablacks usiku, utawapata wengi tu. Pia ukipita vyuoni utakutana nao wengi sana. Umenikumbusha mbali sana, Niliwahi kuishi Sankt Peterburg!Asante sana naomba tupange appointment ili tuonane.
Shukrani ngoja nimtafute mrembo mmoja wa kirusi hapa anipe ramani haraka iwezekanavyo.Mbona Wabongo ni wengi sana hapo Moscow? Tafuta msichana wa Kirusi akuelekeze viwanja wanavyoenda mablacks usiku, utawapata wengi tu. Pia ukipita vyuoni utakutana nao wengi sana. Umenikumbusha mbali sana, Niliwahi kuishi Sankt Peterburg!
Nipo Moscow, hiyo ni wapi huko Abizian townAbizian in town.
Wewe ndio yule paka aliyekanyagwa na gari akifanya yake mitaa ya St Petersburg ?Mbona Wabongo ni wengi sana hapo Moscow? Tafuta msichana wa Kirusi akuelekeze viwanja wanavyoenda mablacks usiku, utawapata wengi tu. Pia ukipita vyuoni utakutana nao wengi sana. Umenikumbusha mbali sana, Niliwahi kuishi Sankt Peterburg!
Nitarudi na mizawadi siyo vizawadi moja kati ya hiyo mizawadi basi itakuwa ni yako.Ukirudi naomba uniletee vizawadi vya huko.....
Nawe kama upo huku usiogope tutafutane tu.Msije ng'oana kucha hukoo
Ngoja nisave kabisa ili nisisahauNitarudi na mizawadi siyo vizawadi moja kati ya hiyo mizawadi basi itakuwa ni yako.
Utanikumbusha ili nisisahau.