Diaspora rudini nyumbani

Aisee!
 
Thus madikteta wote upenda kuwafanya watu wawe masikini ili watawale.Huwezi ukamuinua masikini kwa kuwashusha matajiri,Bali watumie matajiri kuwainua masikini, masikini wanyonge future less people ni marafiki wa madikteta ni wepesi kupokea cheap propaganda udikteta unaendwa kwa propaganda na si Hali halisi,ni rahisi kwa wanyonge kuamini ajira milioni 6 zimetengezwa.Umasikini huzaa chuki na roho mbaya ambavyo uzaa uchawi.Palipo na uchawi pana umasikini hivi ni pacha.
 
"Palipo na umaskini na uchawi upo. Ni pacha"
Hii sentensi yenye kujaa ukweli tupu.
 
Naona una utani na le mutuz
 
Ujinga wa kiwango cha lami, yaan mtu atoke huko majuu aje huku Bongo kumsujudia yesu mpya town? Lol khaaaaaah
 
Mimi kama diaspora ningependa kurudi lakini kuna mamatizo machache.

Maeneo yenye uwezo wa kukua :Bank, Kilimo na mitandao/data

1. Mfumo wa bank zetu bado ni ngumu kusaidia biashara, Riba ziko juu sana na ni vigumu kukuza biashara yako bila kutumia bank. Huwezi kurudi na kutegemea kuajiriwa

2. Sheria za ardhi bado zinategemea sana serikali. Ukitaka biashara za kilimo kwa mfano unahitaji hekta 100-200 ili uweze kutegemea shamba lako kukuingizia 40M-50M kwa mwaka kabla ya 20% kodi. Je barabara zimfika mashambani?, kuna maji? huwezi kutegemea mvua pekee

3. Mitandao wifi ina bei ya juu sana. Ni ngumu kufungua biashara za mitando mfano unaweza kabisa kufanya kazi hata ya nje ukiwa Tanzania lakini bado data ya Tanzania ipo juu na serikali inakusanya sana kodi ni ngumu kwao kuona hili. Data ingekuwa bei rahisi ingesaidia sana kufungua biashara ndogo ndogo.
 
Yapo mengi yatakayo washangaza, pale mtakaporudi, maisha hayo ya utumwa mliyonayo huko, ebu rudini nyumbani, huku nyumbani kumenoga, kama ni hizo kazi za kutunza wazee na kuosha vyombo mahotelini hata huku ziko rudini.

Ukiambiwa watu wa diaspora wewe katika kichwa chako unapata picha ya wale watanzania wanaozamia nchi za watu na kufanya kazi za kuuza unga au kusafisha vyoo, sivyo?

Watu wengine bwana kweli mnahitaji shule. Na utakuta hata Nairobi hujawahi fika lakini unajifanya unajua kuwa watu wa diaspora wanapata shida - wanaishi maisha ya utumwa kama unavyosema.
 
Huyu jamaa hajui kwamba ata Mbwana Samata ni Diaspora.Sasa anataka Mbwana aje nyumbani acheze ligi gani? Byee sikomenti tena huu ujinga
 
Kinachowauma ni usaliti, walisomeshwa na nchi kwa fedha za walipa kodi halafu wakaona hawawezi kututumikia wananchi.
Unajua maana ya kusomeshwa na nchi!?
Unajua maana ya "mwananchi"!?
 
Aiseee
Eti waje Tanzania kugeuzwa mandondocha wawe Kama kamanda Shana,Lusinde,Ally kesi,Msukuma,kawe Alumni,jingalao,bia yangu,magonjwa mtambuka,Bashite,prof wa jalalani and the like. Ila huyu Yesu wa CCM Mungu anamuona.!!!!!!!! Khaaaa
 
Kinachowauma ni usaliti, walisomeshwa na nchi kwa fedha za walipa kodi halafu wakaona hawawezi kututumikia wananchi.

Hawa wasomi waliopo hapa kila mmoja pumzi mkononi, Wengi wamegeuka mapepo wanakula mlo mmoja kwa siku tena kwa taaabu . Hao wasomi akina Pascal wamekimbilia ubunge alau wapate kupumua ndio wamejikuta wanakanyagwa na MAFIA , hawana kitu cha kuhonga wajumbe.

Ndio matunda ya Jiwe hilo beberu lisilo mkia kutoka Chato
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…